Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 9,164
- 18,402
Nimeipenda hiiLol, RR mi kuna wakati nachoka sitaki kitu cha kunishika mwili wangu including chupi nataka nioge,nikae niangalie movie,nisome kitabu kama nilivyozaliwa....vitu vyenyewe vinabana na kuvaa zile 'mothers day' ni mwiko kwangu....lol
Wana Forum;
Mniwie radhi kwani si kawaida yangu kutembelea jukwaa hili la wapwa na mabinamu lakini leo imenilazimu . . . .
Ashakum si matusi . . . Nikiwa ofisini katika kazi zangu za kawaida kuna dada moja ambaye hupendelea sana kuvaa suruali na zinamkaa vilivyo. Hata hivyo majuzi alivaa sketi ambayo pia ilimkaa vema. Bahati mbaya wakati naingia ofisini na bila kudhamiria nilimwona amekaa mkao ambao "mambo yote yalikuwa hadharani". Naam, kwa hakika hakuwa amevaa chupi. Nilikausha na kujifanya kama vile sijamwona na yeye nadhani alijishtukia hivyo akakaa vema.
Jambo hili lilinifanya nijiulize maswali mengi na hasa ni kwa nini hakuvaa chupi lakini sikupata jibu na hivyo kuamua kulileta hapa jamvini:
Je, kuna baadhi ya Wanawake hawavai chupi? Na kama ni hivyo, ni kwa nini?
mdada aanike chupi mvunguni afu uje kulalama hapa ana mifangazi
lazima ipate jua na upepo lol
Nimekumbuka lile lako la njano ulilokuwa unalianika toilet.... Lilikuwa linaniongezea nguvu ya kujamiiana na sabuni.
Kwa wenye familia zenye madada wengi au familia yenye wanawake wengi vip huko..
do you experience the same!!
Nimekumbuka lile lako la njano ulilokuwa unalianika toilet.... Lilikuwa linaniongezea nguvu ya kujamiiana na sabuni.
kwa hostel we ulitaka waanike wapi?kiafya inashauriwa kuanikwa sehemu isiyo na unyevu na hata kama ni nje ifunikwe na kitambaa laini chepesi ili kunusuru bacteria watokanao na vumbi au maji yaliyofuliwa.kutokana na kushauriwa kupigwa pasi mtu anarahisisha anaona bora aanike nje tu.wanapokosea ni kutozifunika mi nimesoma kwenye shule ambazo hukikutwa umeanika ndani makao yake mapya yatakuwa jalalani.
Unazifunikaje?