Kwanini baadhi ya Wanawake hawavai Chupi?

Kwanini baadhi ya Wanawake hawavai Chupi?

Au alivaa hizi chupi za kisasa? Si unajua zile inakua hardly kujua km m'ke kavaa au hajavaa!
 
nikiri kwamba hiyo tabia iko na wakati niko chuoni mara nyingi nilikuwa nawaona dada zetu wakiwa wamevaa vizuri ila chupi hawana tena kwenye lecture,,,, hakika huu si uungwana kwa dada zetu, inaboa sana
 
lakini pia unamkuta mdada ana matit makubwa halafu kayaachilia, yanacheza kama vitenesi, hizi tabia zitaongeza idadi ya watu wataoingia jehanamu,,, Mungu epusha mbali
 
Lol, RR mi kuna wakati nachoka sitaki kitu cha kunishika mwili wangu including chupi nataka nioge,nikae niangalie movie,nisome kitabu kama nilivyozaliwa....vitu vyenyewe vinabana na kuvaa zile 'mothers day' ni mwiko kwangu....lol
Nimeipenda hii
 
Ungeweka picha mjadala ungenoga vilivyo!
Wana Forum;

Mniwie radhi kwani si kawaida yangu kutembelea jukwaa hili la wapwa na mabinamu lakini leo imenilazimu . . . .

Ashakum si matusi . . . Nikiwa ofisini katika kazi zangu za kawaida kuna dada moja ambaye hupendelea sana kuvaa suruali na zinamkaa vilivyo. Hata hivyo majuzi alivaa sketi ambayo pia ilimkaa vema. Bahati mbaya wakati naingia ofisini na bila kudhamiria nilimwona amekaa mkao ambao "mambo yote yalikuwa hadharani". Naam, kwa hakika hakuwa amevaa chupi. Nilikausha na kujifanya kama vile sijamwona na yeye nadhani alijishtukia hivyo akakaa vema.

Jambo hili lilinifanya nijiulize maswali mengi na hasa ni kwa nini hakuvaa chupi lakini sikupata jibu na hivyo kuamua kulileta hapa jamvini:

Je, kuna baadhi ya Wanawake hawavai chupi? Na kama ni hivyo, ni kwa nini?
 
Hi All.
Mim ni kijana mwenye umri kati ya 25 mpaka 30, nililelewa na mzazi mmoja(baba), kwa bahati mbaya nimesoma shule za boyz sekondari yote na nimekaa ma bweni ya wakaka tupu nikiwa chuo.

Nimekua nikithamini sana hili vazi la ndani (CHUPI). lakin sidhani kama wenzetu wadada wanalithamini kiasi hicho kwa sababu zifuatazo.

1. nilipokua nikiwatembelea wadada chuo utakuta wamezining'iniza nying kama urembo vile karibu ns kitanda au meza

2. hapa nilipo panga chumba kuna wapangaji wawili wadada, kati ya kamba tano, mbili mpaka tatu huwa zina jaa vyupi tuu. yaani mpaka kero hasa pale kamba zinapokua hazitoshi

Mimi nilithani chupi hazitakiwi kuanikwa waziwazi au kutundikwa kama urembo kwa jinsi ninavyo zithamin na kuziheshimu.

Hebu ni saidien, ni ushamba wangu au heshima juu ya chupi imeshuka..!!
 
Mbona hata walizozivaa ziko wazi tu!, ni biashara kijana, jali maisha yako Dunia ina mwenyewe anaiona.
 
Kwa wenye familia zenye madada wengi au familia yenye wanawake wengi vip huko..
do you experience the same!!
 
Kwa wenye familia zenye madada wengi au familia yenye wanawake wengi vip huko..
do you experience the same!!

kwa hostel we ulitaka waanike wapi?kiafya inashauriwa kuanikwa sehemu isiyo na unyevu na hata kama ni nje ifunikwe na kitambaa laini chepesi ili kunusuru bacteria watokanao na vumbi au maji yaliyofuliwa.kutokana na kushauriwa kupigwa pasi mtu anarahisisha anaona bora aanike nje tu.wanapokosea ni kutozifunika mi nimesoma kwenye shule ambazo hukikutwa umeanika ndani makao yake mapya yatakuwa jalalani.
 
kwa hostel we ulitaka waanike wapi?kiafya inashauriwa kuanikwa sehemu isiyo na unyevu na hata kama ni nje ifunikwe na kitambaa laini chepesi ili kunusuru bacteria watokanao na vumbi au maji yaliyofuliwa.kutokana na kushauriwa kupigwa pasi mtu anarahisisha anaona bora aanike nje tu.wanapokosea ni kutozifunika mi nimesoma kwenye shule ambazo hukikutwa umeanika ndani makao yake mapya yatakuwa jalalani.

Unazifunikaje?
 
Back
Top Bottom