ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,753
- 9,575
Eti hivyo vitu hawatakiwi waone watoto kama akina @mwanyasi, ladyfurahia hata Bujibuji
wasije wakaota usiku.
Kweli mama, ila shuleni kuna dada kanifundisha kufanya matusi, raha, mi napenda sana, sijui kwa nini sunday school tunaambiwa kuwa ni dhambi.Eti hivyo vitu hawatakiwi waone watoto kama akina @mwanyasi, ladyfurahia hata Bujibuji
wasije wakaota usiku.
kwa mbaliiii, naiona mbunye dot com
nitonye kalaliwa na vile vitoto
sijui atachomokaje pale.
Anaitwa Meje 30 mwanamuziki toka Congo,ndiye anayefuatia nyayo za Tshalla Muana.... hii show aliifanya Uganda mwaka 2009. unaweza isoma kwa http://alexengwete.blogspot.nl/2009/10/scandal-in-kampala-marie-jose-meje-30.html?m=1
Na hii ni moja ya ngoma zake itazame kwa link hii http://m.youtube.com/watch?v=CsQi0ykHhbo
We mtoa mada hili suala lilipaswa kupelekwa kule JUKWAA LA WAKUBWA Lakini kwa huku sidhani kama linastahili.Watoto wanaopitapita humu kutazama picha hii wanapata wakati mgumu kulala wakati wa usiku .Ni ukweli ulikuwa unania ya kufikisha ujumbe umeshawafikia LAKINI PICHA SASA NGOJA NI NYAMAZE .Jaribu kui edit kidogo maana ujumbe ulioko katika picha ni tofauti kabisa na ujumbe unao uzungumzia .IMENILAZIMU KUFUMBA MACHO.
kwa mbaliiii, naiona mbunye dot com
Kiongozi,mbona huyu kamaa...nanihii..ah basi isije kuwa taabu.