Kwanini baadhi ya Wanawake hawavai Chupi?

Kwa mimi binafsi nahisi kuwa kuna baadhi ya magonjwa huwa yanawandama sana wanawake sehemu zao za siri ambayo ni kamavile fangasi n.k nikimaanisha yale magonjwa ya ngozi kwa sehemu nyeti ambayoo hayo magonjwa yanasababishwa na kumaliza kuoga na asijifutee vizuri zilee sehem sasa yamempata akaona apake dawa na kutoo vaachupi Coz chupi nayo huwaa ina ongezaa maumivu kwa lilee joto Superman.
Wana Forum;

Mniwie radhi kwani si kawaida yangu kutembelea jukwaa hili la wapwa na mabinamu lakini leo imenilazimu . . . .

Ashakum si matusi . . . Nikiwa ofisini katika kazi zangu za kawaida kuna dada moja ambaye hupendelea sana kuvaa suruali na zinamkaa vilivyo. Hata hivyo majuzi alivaa sketi ambayo pia ilimkaa vema. Bahati mbaya wakati naingia ofisini na bila kudhamiria nilimwona amekaa mkao ambao "mambo yote yalikuwa hadharani". Naam, kwa hakika hakuwa amevaa chupi. Nilikausha na kujifanya kama vile sijamwona na yeye nadhani alijishtukia hivyo akakaa vema.

Jambo hili lilinifanya nijiulize maswali mengi na hasa ni kwa nini hakuvaa chupi lakini sikupata jibu na hivyo kuamua kulileta hapa jamvini:

Je, kuna baadhi ya Wanawake hawavai chupi? Na kama ni hivyo, ni kwa nini?
 
Last edited by a moderator:
aaaah, chupi zenyewe chupi basi! si vijimikanda vimepitishwa huku na huku!

lakini kila kitu kiko wazi!

kuna ubunifu mwingine hauna maana kabisa!
 
Dalisalama joto hata wanaume wengi tu hatuvai..mi mwenyewe hapa nilipo sijavaa mtoto wa bukta
 
mpenzi /demu wako havai chupi unalalamika kweli? Btw ukitaka kumuona Rpc unanyooka tu mazima , unamaliza mashida zako , huna haja ya kupitia kwa sijui Ocs , sijui Ocd !
 
usijali ila ningekuwa mm ningekwenda kumwambia ili siku ingine ajifunze halafu uwe
adabu kumuona mtu mmoja usigrupishe wengine kwa ht mama yakko nae havai ihiyo kitu
kuwa na adabu wewe na heshima ni muhimu pia tusingekuwepo sis ungetoka duniani wewe

Wana Forum;

Mniwie radhi kwani si kawaida yangu kutembelea jukwaa hili la wapwa na mabinamu lakini leo imenilazimu . . . .

Ashakum si matusi . . . Nikiwa ofisini katika kazi zangu za kawaida kuna dada moja ambaye hupendelea sana kuvaa suruali na zinamkaa vilivyo. Hata hivyo majuzi alivaa sketi ambayo pia ilimkaa vema. Bahati mbaya wakati naingia ofisini na bila kudhamiria nilimwona amekaa mkao ambao "mambo yote yalikuwa hadharani". Naam, kwa hakika hakuwa amevaa chupi. Nilikausha na kujifanya kama vile sijamwona na yeye nadhani alijishtukia hivyo akakaa vema.

Jambo hili lilinifanya nijiulize maswali mengi na hasa ni kwa nini hakuvaa chupi lakini sikupata jibu na hivyo kuamua kulileta hapa jamvini:

Je, kuna baadhi ya Wanawake hawavai chupi? Na kama ni hivyo, ni kwa nini?
 
Hivi kwani kazi ya chupi kwa kinadada nini?bora men coz kengele zitakua zinagongana.ila yawezekana pia ana magongwa ya fangasi inayomletea maumivu akiwa amevaa hiyo kufuli.au pia maumbile yake yanaweza pia yawezekana alijisahau.
 
usijali ila ningekuwa mm ningekwenda kumwambia ili siku ingine ajifunze halafu uwe
adabu kumuona mtu mmoja usigrupishe wengine kwa ht mama yakko nae havai ihiyo kitu
kuwa na adabu wewe na heshima ni muhimu pia tusingekuwepo sis ungetoka duniani wewe

hapo umenena dada kwanza pole
 
Baadhi yao wanataka kurahisisha kale kamchezo katamu katamu...mmmmhhh!
 
View attachment 150608
1397210467676.jpg
 
Back
Top Bottom