Kwanini baadhi ya Wanawake hawavai Chupi?

Kwanini baadhi ya Wanawake hawavai Chupi?

Naunganisha doti Kipaji Halisi, baada ya White-Party?, yupi kati ya wale wawili?
CC: Paloma, amu, Zion Daughter, mwaJ, lara 1
Vin Diesel na Bujibuji.
Kuna wengine maumbo yao mazuri hadi wakivaa chupi wanakuwa hawayajetendea haki maumbile yao. Hebu fikiria mtu kama demu wa mjeda hivi aanze kijibanabana na vichupi vyenu vya miatano hamsini.
Mama ya mjeda inatakiwa ivae chupi special order ya batiki au kitende.
CC Madame B, MadameX, Ben Saanane, mwaJ watu8, Boflo, Mtambuzi, ndyoko, Mwita Maranya
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Hii topic hii..mfano m2 hana kufuli..alaf apate yale mambo ye2 ya kila mwezi ghafla..ata cjui inakuaje
 
Huyo dada siku hiyo lazima alikuwa na mechi sasa unajua kama msichana ana game halafu anaenda direct eneo la tukio.

Akaona akivaa itaweka jasho jasho au hali fulani ya harufu, si unajua hizi chupi za kisasa zenye urembo urembo nyingi sio cotton. Akaona bora kwenda chupiless.

chupiless-hahaaaaaaaa.
 
Back
Top Bottom