Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
we mwache,hizo ni sifa za kijinga!!!!1Utakuja kuliwa kinyume na maumbile wewe shauri ako....
mwenzangu acha tuu,nakwambia,ni pichu tuuuuuuu.Leo nyota ya chupi imetawala
Wana Forum;
Mniwie radhi kwani si kawaida yangu kutembelea jukwaa hili la wapwa na mabinamu lakini leo imenilazimu . . . .
Ashakum si matusi . . . Nikiwa ofisini katika kazi zangu za kawaida kuna dada moja ambaye hupendelea sana kuvaa suruali na zinamkaa vilivyo. Hata hivyo majuzi alivaa sketi ambayo pia ilimkaa vema. Bahati mbaya wakati naingia ofisini na bila kudhamiria nilimwona amekaa mkao ambao "mambo yote yalikuwa hadharani". Naam, kwa hakika hakuwa amevaa chupi. Nilikausha na kujifanya kama vile sijamwona na yeye nadhani alijishtukia hivyo akakaa vema.
Jambo hili lilinifanya nijiulize maswali mengi na hasa ni kwa nini hakuvaa chupi lakini sikupata jibu na hivyo kuamua kulileta hapa jamvini:
Je, kuna baadhi ya Wanawake hawavai chupi? Na kama ni hivyo, ni kwa nini?
Chupi stara jamani, sa kama mwanamke amevaa gauni au skirt bila chupi ndani akikaa vibaya jee, huyo bimku si atakua hadharani.
Kama unajijuwa hujavaa chupi huwezi kukaa vibaya, lazima utajisitiri tu vinginevyo itakuwa unafanya makusudi ili utamanishe watu.
Global warming effects!