Kwanini baadhi ya Wanawake hawavai Chupi?

mie ndo furaha yangu pindi niendapo kula tunda....usinivalie chupi kabisaa ntakukojolea hata 8
 
Leo nyota ya chupi imetawala
mwenzangu acha tuu,nakwambia,ni pichu tuuuuuuu.
na mie nije thread ya pichu yangu ya BATIKI allonishonea dada binamu wakati huo anajifundisha ufundi cherehani miaka hiyoooo.
acha tu,nilikua siipendi kwanza inanipwayaaa,afu then washkaji wakashtukia wacha wantangaze shule,nkawa sina raha yani loh darasa la 4,nkataniwa mpaka nikabadilishwa jina kua chupi ya batikii hate them till today.😡😡😡😡😡😡
 
Contradiction! umesema wanawake, unaelezea mwanamke.... tupe undani, unageneralize vipi kutumia sample moja? au ulishashuhudis kwa wengi?
I BEGIN TO SUSPECT YOU OOOOH........................!
 
Chupi inaleta usumbufu,binafsi sivai napohitaji yale mambo yetu inakuwa ni chap kwa haraka namaliza.
Nalog off
 
Kwa DSM hili limekuwa la kawaida kila moja ana sababu zake, kwani kuna siku moja msanii Wa kike alikuwa anahojiwa ktk kipindi cha Mkasi naye hakuvaa kitu. Ni aibu kwa mwanamke kutembea bila pichu. Nawakumbusha dada zangu waache
 

Kama kweli wewe ni superman ungemuuliza muhusika kwa nini hakuvaa chupi ili upate majibu ya uhakika ya papo kwa papo. Humu hutapata majibu sanasana watu watakupa maoni yao tu.
 
Chupi stara jamani, sa kama mwanamke amevaa gauni au skirt bila chupi ndani akikaa vibaya jee, huyo bimku si atakua hadharani.


Kama unajijuwa hujavaa chupi huwezi kukaa vibaya, lazima utajisitiri tu vinginevyo itakuwa unafanya makusudi ili utamanishe watu.
 
Kuna ambao hawajachangia neno hata moja humu, nina mashaka ndio wahusika..,. Mtuzamo tu
 
Labda wana ugonjwa wa maambukizi huko chini....nani asiye vaa pichu ana bisha?
 
Wewe ulijuaje utakuwa umewagegeda wengi ndo ukajua naona sio bure hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…