ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,753
- 9,575
Mafikizolo, Khantwe, miss neddy, kichunafk, ladyfurahia, sister, Heaven on Earth, Paloma ...... mkuje pande hii mnambie kwanini hambai vyupi???
Mafikizolo, Khantwe, miss neddy, kichunafk, ladyfurahia, sister, Heaven on Earth, Paloma ...... mkuje pande hii mnambie kwanini hambai vyupi???
Umesema mademu wengi hawavai chupi, halafu ukasema tena wanawake wengi uliowaona ndio wako hivyo, basi hata mama na dada zako ni mademu, usiharibu heshima za wanawake.
Kama hao mademu uliowaona hawavai chupi, hata mama yako na dada zako ni mademu wasiovaa chupi.
Pambaafff.
LMFAO hahahhaaha
nkishashema akaunti yako itaongeza digits?!??!?
Mafikizolo, Khantwe, miss neddy, kichunafk, ladyfurahia, sister, Heaven on Earth, Paloma ...... mkuje pande hii mnambie kwanini hambai vyupi???
LMFAO ndio nani?
Ulitaka tutamani wapi?wacha wasivae tuburudike mkuuHabarini waungwana
Katika pita pita zangu nimefanya kautafiti nimegundua wanawake wengi jijini Dar es Salaam hawavai chupi nimejiuliza ni joto?
Nikajijibu hapana Dar joto limepungua sana kwa sasa hivi, sasa nimebaki siwaelewi hawa watu na wale wachache wanaovaa wanavaa zile za vikamba (bikini) nyama zote zinabaki nje, ni kukubuhu ni umalaya ni kuiga au nini?
shiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii usimwage kuku kwenye mchele wenye njaa..........wewe lazma utakuwa wajua kuwa navaa au la, so naomba umsaidie kunijibia
kumbe we ni yule dada mweupe mwembamba unaeuza pichu pale sehemu!
Kwa hio hawa wanao nunua kwangu hapa ... Ni zakulalia au koz wananunua mpaka dozeni
hizo ni za kushikia pedi, wakiwa kwenye zike siku mkuu.