ni afadhali wasiovaa chupi kabisa kuliko wanaovaa chupi zaidi ya mara moja uvundo wake ni zaidi ya yai visa
nani huyo anarudia chupi shem mbona zinauzwa bei poa sana kha.
mi ikipauka tu natupa
balaaa hili ni ubahili auKuna watu hata kununua zile za bukubuku ni shida
Haa haaa unanikumbusha Mgombea moja miaka ya nyuma wakati wa mkutano wa hadhara alitoa handkerchief ajifute jasho, kumbe ametoa chupi ya nyumba ndogo aliyo confuse kuweka mfukoni akidhani ni leso au kwa sababu nyingine.
na joto hili chupi ya nini jamani
Sasa ukipishana na gari barabara za vumbi kitumbua si kitachafuka?