the gambosh
Senior Member
- May 5, 2015
- 153
- 15
kupunguza nyege
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namaanisha kinyaa
kavaa boxer!
Hiyo ndio napenda sasa
Heeeee lol
Wana Forum;
Mniwie radhi kwani si kawaida yangu kutembelea jukwaa hili la wapwa na mabinamu lakini leo imenilazimu . . . .
Ashakum si matusi . . . Nikiwa ofisini katika kazi zangu za kawaida kuna dada moja ambaye hupendelea sana kuvaa suruali na zinamkaa vilivyo. Hata hivyo majuzi alivaa sketi ambayo pia ilimkaa vema. Bahati mbaya wakati naingia ofisini na bila kudhamiria nilimwona amekaa mkao ambao "mambo yote yalikuwa hadharani". Naam, kwa hakika hakuwa amevaa chupi. Nilikausha na kujifanya kama vile sijamwona na yeye nadhani alijishtukia hivyo akakaa vema.
Jambo hili lilinifanya nijiulize maswali mengi na hasa ni kwa nini hakuvaa chupi lakini sikupata jibu na hivyo kuamua kulileta hapa jamvini:
Je, kuna baadhi ya Wanawake hawavai chupi? Na kama ni hivyo, ni kwa nini?
Eti wanasema joto... jamani... inachekesha sana
kama una workmate wa kike unaweza ongea naye ....
halafu yeye amuulize kwa niaba yako....
(kuwa mwangalifu na hili lakini)