Rahabu
JF-Expert Member
- Jan 21, 2014
- 5,526
- 3,341
Jamang umekua MCHUNGUZI HURU
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kautafiti kako kabayaaaaaHabariniiiii...waungwana!
Katika pita pita zangu nimefanya kautafiti nimegundua wanawake wengi jijini daresalama hawavai chupi nimejiuliza ni joto?nikajijibu hapana dar joto limepungua sana kwa sasa hivi,sasa nimebaki siwaelewi hawa watu na wale wachache wanaovaa wanavaa zile za vikamba (bikini)nyama zote zinabaki nje,ni kukubuhu ni umalaya ni kuiga au nini?
Too hot to have anything down there
toba yalaaaaaaaaa....hapo ni kumwagia maji tuu
Naona leo ni post za pichu tu.
Haya mie wangu asipovaa pichu,atasababisha ajali bureeeeeee!
Naona leo ni post za pichu tu.
Haya mie wangu asipovaa pichu,atasababisha ajali bureeeeeee!
Hujui tu wanaruhusu hewa kupita kiurahisi hafu pichu zina desturb ndo mana
Picha ya nini mkuu ya chupi au?
Habariniiiii...waungwana!