mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
kweli kabisa....afu unakuta mwanaume hakutumii we ndo unatuma 😂 unaingizwa mjini😂
Hawajui hatari kutuma pich za utupu hao watu.Mm kuna mmoja alikua ananitumia picha za bila kumuomba,siku ya siku akaomba na mm nimtumie ya mandingo aahs nikagoma,mbona alinichukia kinoma na kunilaumu simpendi na amejifunza kitu [emoji2], nikamwuliza mm kuna siku nilishawahi kukuomba unitunie picha za hivyo?
wanatega uchumi sio 😂Wapo wanaoombwa lakini wengine ni utashi wao tu.
Kuna mmoja wala sikua na hili wala lile mara vuup livideo hili apa. Nilishangaa coz sikutegemea ila ndo basi huwezi irudisha.
Wanawake wanapenda sana kua watupu, labda ni nature tu. Hata mkiwa nyumbani hupenda kushinda na khanga pekee.
au na sisi wanaume hua tunatia wanawake kwenye vyupa??😂Hapana si makahaba ni mapenzi ya kijinga, Halafu wakikorofishana na wapenzi hao picha zinatupiwa mitandaoni.Sijui kwanini hawajifunzi kwa matukio.
Hapana, wajua hawa watu wakikupenda hawawezi kujificha na huwa hawaoni hatari wala ubaya mpaka unapotokea.NDO WALIVYO LAKINI.au na sisi wanaume hua tunatia wanawake kwenye vyupa??😂
ni pisi kali eti...😂 kuna pisi kali mshamba kweli??😂sijui ni ushamba au ulimbukeni, kati ya hayo mawili
pisi kali wapi na hajitambui, nakerekaga sana na wadada wa hivyo sijui wakoje agh☹ni pisi kali eti...😂 kuna pisi kali mshamba kweli??😂
tamaa za kimwili😂ila sio wote tunaomba, wengine wanatuma tu....Kwanini baadhi ya wanaume mnaomba picha za utupu kwa wapenzi wenu?