Kwanini baadhi ya wanawake mnatuma picha za utupu kwa wapenzi wenu?

Kweli?Hebu weka moja nione kama ni mbaya sana ili nimkemee.Inatisha sana.
 
Huyo mshikaji wako ni mpumbavu.
 
Kuna dada mmoja ni ex wangu kanizidi umri alikua ananitumia nikimuomba ila me sijawahi mtumia[emoji1787][emoji23]

Nilimuomba siku ya kwanza akakataa nikamnunia basi tokea hapo akawa anatuma tu nikimwambia nitumie anatuma huku akisema angalia alafu ufute usisahau.

Me nilikua sifuti nazi save huku kwenye kwenye fake calculator. Kila nikitaka kuzifuta nasita sita ngoja nizifute leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ