Kwanini baadhi ya wanawake weupe ni weusi kwenye sehemu zao za siri?

Unaongelea wazungu wa kwenye tamthilia au wazungu wote...sample yako ya wazungu umechukua wazungu wa aina gani rika gani wenye kipato gani na wa nchi gani

Ukiskia "Paaaah......"
 
Sina nia ya kumsema mtu au kuvunjia heshima hapa, ni udadisi mwema kabisa.

Kwa mujibu wa uzoefu wangu na watu kadhaa kuhusu wanawake weupe, hakuna aliyewahi kukutana na mwanamke ambae pia sehemu zake siri/papuchi ni nyeupe, utakuta kuna kweusi na either ukungu wa mweusi kabisa hadi maeneo ya pembezoni mwa uke.

Hoja yangu:

  • Ni kwamba wametumika sana? (Siamini maana nina ushahidi wa rangi nyeupe ambao hawajatumika sana lakini kule bado ni kweusi)
  • Ni msuguano kutokana na kutembea au joto kali eneo hilo? (mbona za wazungu ni kweupe peee licha ya hekaheka za kutembea na kupanda mlima kilimanjaro)
  • Ni matunzo duni? (Ni mwanamke gani anayejitambua usafi wa maumbile usiwe kipaumbele chake?)

Je, kama wewe ni mweupe za kwako zikoje?
 
Mkuu tafiti yako sijaikubali kwan papuchi ulizofany kwa wadada kuanzia umri upi?
 
Da kiukweli hii mada ni hatari unakuta mdada anajichubua kuanzia mguuni hadi usoni lkn kiukweli na usafi wote wa kila cku mkuu imeshindikana kwakweli
 
Kwani inaathiri ladha?angaliaga vitu vya msingi mkuu
 
Mtoa mada duh! Sijui ulikuwa unawaza nini mpaka kutoa mada kama hii. Anyway anza kuwauliza mmoja baada ya mwingine kwa kila ukutanaye.
 
Sina nia ya kumsema mtu au kuvunjia heshima hapa, ni udadisi mwema kabisa.

Kwa mujibu wa uzoefu wangu na watu kadhaa kuhusu wanawake weupe, hakuna aliyewahi kukutana na mwanamke ambae pia sehemu zake siri/papuchi ni nyeupe, utakuta kuna kweusi na either ukungu wa mweusi kabisa hadi maeneo ya pembezoni mwa uke.

Hoja yangu:

  • Ni kwamba wametumika sana? (Siamini maana nina ushahidi wa rangi nyeupe ambao hawajatumika sana lakini kule bado ni kweusi)
  • Ni msuguano kutokana na kutembea au joto kali eneo hilo? (mbona za wazungu ni kweupe peee licha ya hekaheka za kutembea na kupanda mlima kilimanjaro)
  • Ni matunzo duni? (Ni mwanamke gani anayejitambua usafi wa maumbile usiwe kipaumbele chake?)
naona unawachokoza team LAMI
 
Daah kweli watu mnachunguza! Vipi kwa wenzetu wa ng'ambo huko hujafanya utafiti
 
Back
Top Bottom