Kwanini Baadhi Ya Watu Wakishafika Dar Wanakuwa Na Roho Mbaya

Kwahyo kunitumia laki tatu yako ndo Unakuja kunitangaza jf kweli Kaka badilika ni pm tuyajenge
ww ndio umeyataka ungenipa ela yangu usinge yakuta uku embu nilidishie pesa yangu dogo bado naumwa mwenzio
 
Yani ww mwnyw hali yako mbaya halaf unampa mtu laki 3?!..acha kujipendekeza kwa watu kisa ni wasanii
 
Yani ww mwnyw hali yako mbaya halaf unampa mtu laki 3?!..acha kujipendekeza kwa watu kisa ni wasanii
mkuu nilijua anapesa maana kila nyimbo kubwa kubwa zinazo hit nasikia biti zake Sasa sisi uku tunajua ni anapesa ndio maana nikaamua kumpa hiyo pesa
 
Mkuu uko songea sio nijaribu kuconnect dot hapa.
 
😂😂😂😂😂 ili ahakikishe maneno yangu kuwa marafiki zake ni matapeli na haina uhusiano na kuishi dar
hahaa huo uhakiki utamuacha na kichomi aisee" Maana mpaka sasa bado anakidonda cha 450k "... so unampango wa kumtonesha tu sio bure
 
sasa uyo nilijua ni msanii mkubwa afu ni lafiki yangu awezi nitapeli lakin ndio kawa msafara wa mbele wa kunitapeli pesa yangu kubwa sijui kwasababu sijawai fika uko dar anajua siwez kuja?
Mkuu kweli hujawahi fika Dar?
 
Kiufupi ukweli ni kuwa maisha ya dsm ni magumu mno. Kupitiliza ndio maana hao jamaa zako wapo tayri kuvunja urafiki sababu ya laki mbili tatu

Wewe chakufanya waloge au samege
 
Dah maisha magumu ila watu huwa wanaona aibu kurudi mikoan mana watu watauliza vp
 
Kuzaliwa Dar form six weka kichwani sisi tuliotokea mikoani yani tuliozaliwa hapa Dar lakini asili yetu ni mikoani tuko poa sana wenye upendo alafu wajanja , washikaji wa kijijini wanakuja wajinga kinoma Dar , baada ya kujifunza maidha ya hapa wanapitiliza ujanja kuliko wazaliwa yani wanakua limbukeni aka mshamba mjanja tunawachora tu , ushauri njoo dar nawewe ufunguke akiri , watu pekee ambao kwa kweli wanaotoka mkoani alafu wajanja kidogo ni wanaotokea ARUSHA lakini wengine hawana lolote washamba kabisa mtanisamehe hata ndugu zangu wa kanda ya ziwa nyinyi ni washamba na wengine wote wa mikoani tanzania
 
mtu kukuazima pesa na kukutapeli sio ushamba tena rafiki yangu lakin ngoja nifike uko dar nikuone kunafananeje pumbavu San awa jamaa zang
 
Kwanza nikupe pole mkuu,tatizo sio wa dar tu hata mikoani pia wapo,sema dar wamezidi sababu ya ugumu wa maisha na wengi hawataki kujishughulisha,watu wa dar wanapenda sana Ku fake maisha. yalishanikuta kumuamini rafiki hivyo hivyo mpaka Leo namdai 120000,nilishasamehe,Japo siwezi kusahau,nawe nakushauri wasamehe tu endelea na maisha hawajakukata mikono.kwa usawa huu ni vigumu mno wao kukulipa utapoteza muda wako,ila ujifunze kupitia hilo,usimuamini mtu.
 
mkuu siamin kama naweza kumsamehe kwa haraka ivi yaan 300000 inzima nimsamehe mwanaume mwenzangu kwakweli apan nipo nafanya maanfalizi ya kuja dar ili nichukue computer yake anayo tengenezea biti za nyimbo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…