keki ya harusi
JF-Expert Member
- Jul 23, 2017
- 271
- 430
Kwahyo kunitumia laki tatu yako ndo Unakuja kunitangaza jf kweli Kaka badilika ni pm tuyajenge
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu nilijua anapesa maana kila nyimbo kubwa kubwa zinazo hit nasikia biti zake Sasa sisi uku tunajua ni anapesa ndio maana nikaamua kumpa hiyo pesaYani ww mwnyw hali yako mbaya halaf unampa mtu laki 3?!..acha kujipendekeza kwa watu kisa ni wasanii
😂😂😂😂😂 ili ahakikishe maneno yangu kuwa marafiki zake ni matapeli na haina uhusiano na kuishi darHahaa amkopeshe mtu mwingine tena" naona una hamu ya kumuua mwenzio wewe
hahaa huo uhakiki utamuacha na kichomi aisee" Maana mpaka sasa bado anakidonda cha 450k "... so unampango wa kumtonesha tu sio bure😂😂😂😂😂 ili ahakikishe maneno yangu kuwa marafiki zake ni matapeli na haina uhusiano na kuishi dar
Mkuu kweli hujawahi fika Dar?sasa uyo nilijua ni msanii mkubwa afu ni lafiki yangu awezi nitapeli lakin ndio kawa msafara wa mbele wa kunitapeli pesa yangu kubwa sijui kwasababu sijawai fika uko dar anajua siwez kuja?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12]ww ndio umeyataka ungenipa ela yangu usinge yakuta uku embu nilidishie pesa yangu dogo bado naumwa mwenzio
Kuzaliwa Dar form six weka kichwani sisi tuliotokea mikoani yani tuliozaliwa hapa Dar lakini asili yetu ni mikoani tuko poa sana wenye upendo alafu wajanja , washikaji wa kijijini wanakuja wajinga kinoma Dar , baada ya kujifunza maidha ya hapa wanapitiliza ujanja kuliko wazaliwa yani wanakua limbukeni aka mshamba mjanja tunawachora tu , ushauri njoo dar nawewe ufunguke akiri , watu pekee ambao kwa kweli wanaotoka mkoani alafu wajanja kidogo ni wanaotokea ARUSHA lakini wengine hawana lolote washamba kabisa mtanisamehe hata ndugu zangu wa kanda ya ziwa nyinyi ni washamba na wengine wote wa mikoani tanzaniaLady and Gentleman habali za asubui .Natumain mu buheri wa afya bila kupoteza muda niende straight to the point lakin mtanisamehe Sana sababu ya huu uandishi wangu kwakweli hata mm napata tabu kuusoma sababu si uandishi mzuri.
Nilikuwa na mdogo wangu(just friend) niliekuwa naishi nae huku mkoan alikuwa fundi garage .lakin kutokan na kutafuta maisha akapata location moja ivi uko dar ya ufundi uo uo wa magari( garage) .Baada ya mda gari yangu aina ya passo ikapata matizo yaan nilikuwa nikienda umbali mrefu mfano wilaya up to mkoan inawasha taa ya oil .Mafundi wakanishauli ninunue oil pump mpya ili tubadili sasa kwa vile nilikuwa na uyo dogo uko dar nikamwambia aninunulie iyo oil pump nikamtumia Tsh 180000 ivi .Kwakweli yule dogo akaanza kunipiga chenga mala baadae,mala natuma kesho ,mala nimeenda kununua kumbe sio yenyewe mwisho akawa apokei simu wala ajibi sms zangu mwisho akatupa laini ya simu basi nikaamua kupotezea .
Wa pili ni jamaa yangu nimesoma nae tangu vidudu,chekechea,primary, secondary lakin A level tulisoma tofauti .lakin kwa sasa yeye ni msanii mkubwa tu apa bonge kwa upande wa kutegeneza bit na kuimba na kashawatengenezea wasanii kibao tu kama diamond, mavoco,rayvan,weusi ashaimba nao yaan kiufupi ni mkubwa tu kiusanii sasa uyu msanii kuna siku akanipigia simu akanambia oya vp naomba uniazime laki tatu(300000) kesho nakuludishia nikamwambia apa sina adi niende (November maik Bravo) yaan NMB tena ilikuwa usiku akanambia ninashida plz naomba nisaidie mwanangu kweli nikawasha gari yangu mpaka benki apo nikamuamishia iyo laki tatu kutoka kwenye account yang kwenda simu yake ya mkononi alafu ndio ilikuwa pesa ya emergency kama Tsh350000 nikijua huyu ni msanii mkubwa hawezi kosa laki tatu nikiitaka mda wowote .Jaman kumbe jamaa sio akaanza kupiga chenga nikimpigia simu anakata anaandika call you soon sasa apo mimi nilikua nina shida sana afu nilikuwa naumwa naitaji matunda ,nyama choma,majuic, maji kwa wingi afu sina pesa nipo geto tu nimelala namtegemea uyo msanii .kwakweli nilikoma akawa apokei simu na ajibu sms mpaka nikaamua kumpigia simu mama ili anisaidie ndio akanitumia Tsh 50000 lakin namshukuru mungu now nimepona ila uyo msanii ataki kunitumia pesa yangu sasa najiuliza kwanini? mtu ukimfanyia wema yeye anakujib kwa ubaya au kwann? mtu akifika dar anakuwa na roho mbaya ya kutokujali maisha ya mwenzake .
Naombeni ushauli jinsi yakuwakamata awa matapeli wangu kwakweli Tsh 480000 kwa usawa huu inauma San sijui nifanyeje ili wanilipe hii pesa yangu sababu inaniumiza San kichwa.
Ushauri
Enyi wanaume na wanawake wa dar maisha yakiwashida ludin tu uku mikoani usipende kuishi kiujanja ujanja haipendezi mbinguni na duniani .Yaan mmenifanya nimchukie kila mtu anaeishi dar naona kama wote wanaishi kiujanja ujanja tu .
Nawasilisha.
mtu kukuazima pesa na kukutapeli sio ushamba tena rafiki yangu lakin ngoja nifike uko dar nikuone kunafananeje pumbavu San awa jamaa zangKuzaliwa Dar form six weka kichwani sisi tuliotokea mikoani yani tuliozaliwa hapa Dar lakini asili yetu ni mikoani tuko poa sana wenye upendo alafu wajanja , washikaji wa kijijini wanakuja wajinga kinoma Dar , baada ya kujifunza maidha ya hapa wanapitiliza ujanja kuliko wazaliwa yani wanakua limbukeni aka mshamba mjanja tunawachora tu , ushauri njoo dar nawewe ufunguke akiri , watu pekee ambao kwa kweli wanaotoka mkoani alafu wajanja kidogo ni wanaotokea ARUSHA lakini wengine hawana lolote washamba kabisa mtanisamehe hata ndugu zangu wa kanda ya ziwa nyinyi ni washamba na wengine wote wa mikoani tanzania
Kwanza nikupe pole mkuu,tatizo sio wa dar tu hata mikoani pia wapo,sema dar wamezidi sababu ya ugumu wa maisha na wengi hawataki kujishughulisha,watu wa dar wanapenda sana Ku fake maisha. yalishanikuta kumuamini rafiki hivyo hivyo mpaka Leo namdai 120000,nilishasamehe,Japo siwezi kusahau,nawe nakushauri wasamehe tu endelea na maisha hawajakukata mikono.kwa usawa huu ni vigumu mno wao kukulipa utapoteza muda wako,ila ujifunze kupitia hilo,usimuamini mtu.Lady and Gentleman habali za asubui .Natumain mu buheri wa afya bila kupoteza muda niende straight to the point lakin mtanisamehe Sana sababu ya huu uandishi wangu kwakweli hata mm napata tabu kuusoma sababu si uandishi mzuri.
Nilikuwa na mdogo wangu(just friend) niliekuwa naishi nae huku mkoan alikuwa fundi garage .lakin kutokan na kutafuta maisha akapata location moja ivi uko dar ya ufundi uo uo wa magari( garage) .Baada ya mda gari yangu aina ya passo ikapata matizo yaan nilikuwa nikienda umbali mrefu mfano wilaya up to mkoan inawasha taa ya oil .Mafundi wakanishauli ninunue oil pump mpya ili tubadili sasa kwa vile nilikuwa na uyo dogo uko dar nikamwambia aninunulie iyo oil pump nikamtumia Tsh 180000 ivi .Kwakweli yule dogo akaanza kunipiga chenga mala baadae,mala natuma kesho ,mala nimeenda kununua kumbe sio yenyewe mwisho akawa apokei simu wala ajibi sms zangu mwisho akatupa laini ya simu basi nikaamua kupotezea .
Wa pili ni jamaa yangu nimesoma nae tangu vidudu,chekechea,primary, secondary lakin A level tulisoma tofauti .lakin kwa sasa yeye ni msanii mkubwa tu apa bonge kwa upande wa kutegeneza bit na kuimba na kashawatengenezea wasanii kibao tu kama diamond, mavoco,rayvan,weusi ashaimba nao yaan kiufupi ni mkubwa tu kiusanii sasa uyu msanii kuna siku akanipigia simu akanambia oya vp naomba uniazime laki tatu(300000) kesho nakuludishia nikamwambia apa sina adi niende (November maik Bravo) yaan NMB tena ilikuwa usiku akanambia ninashida plz naomba nisaidie mwanangu kweli nikawasha gari yangu mpaka benki apo nikamuamishia iyo laki tatu kutoka kwenye account yang kwenda simu yake ya mkononi alafu ndio ilikuwa pesa ya emergency kama Tsh350000 nikijua huyu ni msanii mkubwa hawezi kosa laki tatu nikiitaka mda wowote .Jaman kumbe jamaa sio akaanza kupiga chenga nikimpigia simu anakata anaandika call you soon sasa apo mimi nilikua nina shida sana afu nilikuwa naumwa naitaji matunda ,nyama choma,majuic, maji kwa wingi afu sina pesa nipo geto tu nimelala namtegemea uyo msanii .kwakweli nilikoma akawa apokei simu na ajibu sms mpaka nikaamua kumpigia simu mama ili anisaidie ndio akanitumia Tsh 50000 lakin namshukuru mungu now nimepona ila uyo msanii ataki kunitumia pesa yangu sasa najiuliza kwanini? mtu ukimfanyia wema yeye anakujib kwa ubaya au kwann? mtu akifika dar anakuwa na roho mbaya ya kutokujali maisha ya mwenzake .
Naombeni ushauli jinsi yakuwakamata awa matapeli wangu kwakweli Tsh 480000 kwa usawa huu inauma San sijui nifanyeje ili wanilipe hii pesa yangu sababu inaniumiza San kichwa.
Ushauri
Enyi wanaume na wanawake wa dar maisha yakiwashida ludin tu uku mikoani usipende kuishi kiujanja ujanja haipendezi mbinguni na duniani .Yaan mmenifanya nimchukie kila mtu anaeishi dar naona kama wote wanaishi kiujanja ujanja tu .
Nawasilisha.
mkuu siamin kama naweza kumsamehe kwa haraka ivi yaan 300000 inzima nimsamehe mwanaume mwenzangu kwakweli apan nipo nafanya maanfalizi ya kuja dar ili nichukue computer yake anayo tengenezea biti za nyimboKwanza nikupe pole mkuu,tatizo sio wa dar tu hata mikoani pia wapo,sema dar wamezidi sababu ya ugumu wa maisha na wengi hawataki kujishughulisha,watu wa dar wanapenda sana Ku fake maisha. yalishanikuta kumuamini rafiki hivyo hivyo mpaka Leo namdai 120000,nilishasamehe,Japo siwezi kusahau,nawe nakushauri wasamehe tu endelea na maisha hawajakukata mikono.kwa usawa huu ni vigumu mno wao kukulipa utapoteza muda wako,ila ujifunze kupitia hilo,usimuamini mtu.