Kwanini Baadhi Ya Watu Wakishafika Dar Wanakuwa Na Roho Mbaya

mkuu siamin kama naweza kumsamehe kwa haraka ivi yaan 300000 inzima nimsamehe mwanaume mwenzangu kwakweli apan nipo nafanya maanfalizi ya kuja dar ili nichukue computer yake anayo tengenezea biti za nyimbo
Kwa haraka haraka unaweza hisi ni rahisi kufika na kuchukua,ni vigumu kama ulivyosema ni mtu mkubwa mwenye jina,unaweza kukushitaki kwamba wewe mwizi,au unataka kumchafulia jina labda uwe na ushahidi mkuu,afu anaweza kukugeuka fikiri kabla ya kutenda.najua ni vigumu kusamehe.uamuzi ni wako nitapenda kupata mrejesho mkuu.
 
siwez fanya ajizi laazima nikupe mrejesho mkuu
 
Mbona mimi kuna watu nawadai huko mkoani halafu we unapitisha mada utadhani sijui ni aje?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…