Gentlewoman
Senior Member
- Aug 13, 2018
- 191
- 389
Kwa haraka haraka unaweza hisi ni rahisi kufika na kuchukua,ni vigumu kama ulivyosema ni mtu mkubwa mwenye jina,unaweza kukushitaki kwamba wewe mwizi,au unataka kumchafulia jina labda uwe na ushahidi mkuu,afu anaweza kukugeuka fikiri kabla ya kutenda.najua ni vigumu kusamehe.uamuzi ni wako nitapenda kupata mrejesho mkuu.mkuu siamin kama naweza kumsamehe kwa haraka ivi yaan 300000 inzima nimsamehe mwanaume mwenzangu kwakweli apan nipo nafanya maanfalizi ya kuja dar ili nichukue computer yake anayo tengenezea biti za nyimbo