Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,727
- 8,785
Afadhali umejijibu, kumbe umeelewa kuwa kuna baadhi husumbua baada ya kulewa.Mimi nimeanza kugonga mitungi way back kitambo bado chalii sana na Moshe zangu zinasonga kama kawa sijawahi zingua mzee.
Ila nashangaaga sana unakutana na mtu ndezi tu afu anakuona wewe unaepiga mitungi unazingua wakati ukishalewa unanyooka mpaka geto hujawahi kumsumbua sababu umelewa na wala hujawahi muomba hela ya mitungi.
Tuvumiliane tu jamani hatuwezi fanana
Wewe thubutu hata mtoto wako umpe hilo jina uone side effects zake.Kwani we Hujaona side effects Za Pombe?
Inawezekana pombe ukanywa wewe halafu harufu mbaya wakanusa wengine, sasa hapo napo utashangaa wanavyoichukia hiyopombe tu?Kama swali linavyouliza hapo juu
Nashangaa mtu hanywi pombe Lakini anadiriki kuichukia na kumsema vibaya mnywaji
Hapa duniani kila mtu ana starehe yake ,kuna wapenda mademu,kuna wapenda bangi,kuna wapenda unga na kadhalika ili mradi tu upate ile kitu roho inapenda
Sasa kuna mijitu inaona wale wanaokunywa pombe ni waovu,hawafai katika jamaii, na kuwaona kama watu wasio na akili ya maisha
Wanaona ukinywa pombe basi utakua maskini hutopata maendeleo ,kumbe kila MTU na malengo yake na unywaji wake anajua nini anafanya
Watu tuache unafiki kuhukumiana,mwenye mamlaka ya kumuhukumu MTU mnywaji ni mungu pekee
Acha watu tunywe tuburudike,hiyo starehe unayoipata wewe pale unapokunywa soda basi ndo hiyo hiyo ninayoipata Mimi pale ninapokunywa Balimi zangu za bariiiidi kabisa
Tusipangiane Maisha na usihukumu kabla hujahukumiwa
Cheers[emoji481][emoji481][emoji481]