A Anonymous Guest Mar 18, 2026 #1 Kwanini baadhi ya watumishi wa umma wanaajiriwa hela ya kujikimu wanapewa siku 7. Standing order inasema siku 14? Huu ni wizi na kutokutenda haki.
Kwanini baadhi ya watumishi wa umma wanaajiriwa hela ya kujikimu wanapewa siku 7. Standing order inasema siku 14? Huu ni wizi na kutokutenda haki.