sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Kwanini siku hizi Mada zako zimeshuka ubora Sana? Naona Kuna kitu unazidi kukipoteza kila siku.Pombe ni dawa ya tumbo nashangaa kuna wazazi wa kikristo hawataki watoto wao waimarishe afya ?
Hata paulo alisema masikini anywe pombe asahau shida zake
16 anywe pombe?mtoto kunywa pombe angalau afikishe miaka 16 bana, mtoto kulewa haileti picha nzuri
kawaambie hivyo wachaga16 anywe pombe?
Pumbavu zake. Nitaua. Aoe akanywee pombe kwake.
Nimekulia na kukaa Uchagani. Si familia zote zinaendekeza ulevi.kawaambie hivyo wachaga
Si tulikubaliana pombe ni dawa ya tumbo ?Mtoto Mdogo ambaye hajawahi kujitegemea kunywa pombe nyumbani kwako alafu Baba na Mama upo hizo ni dharau na dalili kuwa Humo ndani hakuna Wazazi
Si tulikubaliana pombe ni dawa ya tumbo ?
Kuna ubaya gani mtu kunywa kwa afya yake ?
Umri uwe umeendaa sio muda wakunywa pombe hujqjenga taifa,ila mimi 3 nilitekwa na,wenye dhambi nikawa pombe na mimi mbege,totopaki,baba angu ni mywaji alikuwa ananyima tunywe tunaiba ,bangi nilikuwa na vuta chuo lakini nilikuwa shida haileweki hiyo mutu ila nilikuja ona hii ni yawatoto watu wazima tutakunywa utafutaji wa hela. Nikaanza kuwa serious 16 pombe ukionekana nayo kifo kipo karibu unaweshwa mabapa ya panga hadi basi . Ila tulikuwa tunazinywa yangu ilikuwa safari,serengeti,castle lager,heineken,na mbege safi nzuri, vikali konyagi nilikuwa mzinga tunashea , ika hivi vidogo naywa mwenyewe chupa kubwa tunakunywa na group . Nilienjoy life together tunawakilisha huu ndio msemo dhabiti ila ukishikwa uwii kufa kupoooSi tulikubaliana pombe ni dawa ya tumbo ?
Kuna ubaya gani mtu kunywa kwa afya yake ?
Sio sababu yakutokula rahaUkishasema neno Dawa alafu tumbo hapo unagusa Madaktari na Wafamasia.
Hao wanakuambia angalau MTU anywe akiwa na Umri kuanzia miaka 18.
Haya Kwa habari ya Saikolojia pamoja na sosholojia mtoto Mdogo ambaye hajajitegemea hapaswi kunywa hizo pombe.
Ingefaa ukauliza.
Sio sababu yakutokula raha
Ni mjinga kama anaamini maandiko yanayohalalisha PombeHas it come to this? Tumefika hapa kweli,kwamba mzazi anayekataza pombe anaitwa "mjinga"?
Pombe ni dawa ya tumbo, Kijana ni mnywaji sio mleviKale Raha ukiwa kwako au unajitegemea.
Ni Watu wajinga na wehu ambao huwaza kustarehe kwenye majumba ya Watu (wakiwa watumwa)