Kwanini baadhi ya wazazi wa kikristo hawapendi watoto wao kuanza kunywa pombe ?

Kwanini baadhi ya wazazi wa kikristo hawapendi watoto wao kuanza kunywa pombe ?

Kijana kamaliza form 4 yupo likizo anasubiri kwenda chuo mwezi wa 10, wazazi wake ni washika dini kila jumapili kanisani ila cha ajabu wanamgombeza kijana wao kisa tu chumbani kwake kuna chupa za bia, kwenye pipa la taka huwa kuna vichupa vya pombe kali, mara mbilj pia kijana amewahi kufatwa pub na wazazi wake kisa anakunywa pombe.

KIJANA SIO MLEVI NI MNYWAJI TU.

Pombe ni dawa ya tumbo nashangaa kuna wazazi wa kikristo hawataki watoto wao waimarishe afya ?

Hata paulo alisema masikini anywe pombe asahau shida zake
Wakkristo Asilimia kubwa ndo walevi wakubwa na wazinzi
 
Ushauri wangu Kama baba unapiga gambe mchukue kijana wako toka nae mzungumze piga Pombe kistaarabu

Haki huyo kijana ataheshimu na hata fiata mkumbo rika na kuwa mlevi mbwa,Ila ukimficha ataangamia sababu sio kila siku utakuwa nae.
 
Back
Top Bottom