Ileje
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 9,524
- 13,682
- Thread starter
- #21
Umetumia takwimu kutoka wapi? Mbona maneno ya watawala yanakinzana na ulichoandika?Yale ni madarasa ya kisiasa ila tz bado kuna upungufu mkubwa wa madarasa na madawati.
Fedha za kovid zimejenga madarasa kwa baadhi ya shule za sec na msingi na sio shule zote.
Bado upungufu upo tena mkubwa tu.