Kwanini baadhi ya wilaya michango ya vyumba vya madarasa inaendelea?

Yale ni madarasa ya kisiasa ila tz bado kuna upungufu mkubwa wa madarasa na madawati.

Fedha za kovid zimejenga madarasa kwa baadhi ya shule za sec na msingi na sio shule zote.

Bado upungufu upo tena mkubwa tu.
Umetumia takwimu kutoka wapi? Mbona maneno ya watawala yanakinzana na ulichoandika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…