Kwanini Babeli na sio ISS?

Kwanini Babeli na sio ISS?

Bob Manson

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2021
Posts
4,158
Reaction score
7,787
Habari mdau, fikiri kuhusu hili...

Mungu alikasirika walipo jenga mnara wa Babeli, kwa lengo la kufikia mbinguni.

Screenshot_20240721-162933_2.jpg

Jiulize, je kwa sasa hana tatizo na international space station?

Screenshot_20240721-162933_1.jpg

Kama Mungu alizuia jaribio la watu kufika mbinguni, inamaana kwa sasa hawezi kuzuia?

Perhaps, space is fake.....
 
This is myopic and I will answer myopically. Ule mnara haukuwa na maana ya urefu wa kwenda juu Bali ilikuwa ni madhabahu ya malango ya kufikia mbingu ambayo Mungu anaishi.

So mfalme Nebkadneza kwa msaada wa wanefili alifuniliwa Siri mahali pa kuujenga huo mnara kama madhabahu na rituals za kufanya ili apate kuifikia mbingu ambayo waliamini Mungu anaishi.
 
Mwanzo 11
Mungu alikusudia watu waishi duniani kote si Eneo Moja. Walijenga jiji Hilo ili waishi Eneo Moja tu.
Mungu alivuruga mipango Yao ili watawanyika na kusambaa Kila Kona ya Dunia.
Do you get a point?

Tatizo si jengo Bali lengo lao.
 
This is myopic and I will answer myopically. Ule mnara haukuwa na maana ya urefu wa kwenda juu Bali ilikuwa ni madhabahu ya malango ya kufikia mbingu ambayo Mungu anaishi.

So mfalme Nebkadneza kwa msaada wa wanefili alifuniliwa Siri mahali pa kuujenga huo mnara kama madhabahu na rituals za kufanya ili apate kuifikia mbingu ambayo waliamini Mungu anaishi.
Lengo lilikuwa kumfikia Mungu, na mnara ni kama ngazi ya kupanda kwenda juu
 
God is not fake
Think about it man,

It was thousands of years ago, people didn't have science, they didn't have empiricism

They wondered; 'how does the sun float up there?' They were afraid of diseases, death, and all uncertainties of life.

So they made up deities; simple explanations for the world around them, and a tool for social order and control.
 
Or perhaps, God is fake?

I mean doesn't that story sound ridiculous?

Doesn't it look like it was made up by people with a crude understanding of the world?

The evidence is overwhelming.
Hapa tu una certificate ya MUST, Je ungekuwa unasoma PhD University of Calfonia si ungekuwa unatulamba vibao wana JF. God is real we Kilaza. Usijifanye msomi.
 
Think about it man,

It was thousands of years ago, people didn't have science, they didn't have empiricism

They wondered how does the float up there? They were afraid of diseases, death, and all uncertainties of life.

So they made up deities; simple explanations for the world around them, and a tool for social order and control.
But their aim was to reach the heavens and see what's going on there, but they fail
 
Lengo lilikuwa kumfikia Mungu, na mnara ni kama ngazi ya kupanda kwenda juu
Naona unashupaza shingo. Bro watu wanaoclaim wanaoneshwa unabii na Mungu je inakuwa by body physical mechanism? No it's by spiritual thing. So ule mnara ilikuwa ni ritual efforts za kufika kwa Mungu kiroho sio physical ngazi. Bhana eh nimechoka Wacha nimalizie chupa hii nikapumzike weekend imeshaisha hii.
 
Back
Top Bottom