Kwanini Babeli na sio ISS?

Kwanini Babeli na sio ISS?

This is myopic and I will answer myopically. Ule mnara haukuwa na maana ya urefu wa kwenda juu Bali ilikuwa ni madhabahu ya malango ya kufikia mbingu ambayo Mungu anaishi.

So mfalme Nebkadneza kwa msaada wa wanefili alifuniliwa Siri mahali pa kuujenga huo mnara kama madhabahu na rituals za kufanya ili apate kuifikia mbingu ambayo waliamini Mungu anaishi.
Tatizo watu wanaisoma Bible kama riwaya.
Hapa mkuu umetoa ufunuo wa kutosha.
 
Habari mdau, fikiri kuhusu hili...

Mungu alikasirika walipo jenga mnara wa Babeli, kwa lengo la kufikia mbinguni.

View attachment 3048030

Jiulize, je kwa sasa hana tatizo na international space station?

View attachment 3048031

Kama Mungu alizuia jaribio la watu kufika mbinguni, inamaana kwa sasa hawezi kuzuia?


Perhaps, space is fake.....
Ngoja aje hapa kujibu...ana account humu!
 
Hapa tu una certificate ya MUST, Je ungekuwa unasoma PhD University of Calfonia si ungekuwa unatulamba vibao wana JF.

God is real we Kilaza. Usijifanye msomi.
Kama huyo God ni real, Aje hapa ajidhihirishe mwenyewe.

Mnahangaika kumwongelea na kumuelezea Mungu ambaye hajawahi kuwepo na hayupo kuprove his reality.
 
Mungu alizuia jaribio hilo hapo awali, je kwa sasa hawezi kuzuia au hao wanaodai kwenda huko juu hakuna mahali wanafika?
Malengo ya awali kwa kila upande/zama tajwa ni yepi?
-Mmoja alitaka kuchungulia sebuleni kwa Mungu akabagazwa.
-Mwingine kapewa akili ya kuyatawala mazingira yake na anazitumia bila bughudha.
Umeelewa tofauti yao?
 
Malengo ya awali kwa kila upande/zama tajwa ni yepi?
-Mmoja alitaka kuchungulia sebuleni kwa Mungu akabagazwa.
-Mwingine kapewa akili ya kuyatawala mazingira yake na anazitumia bila bughudha.
Umeelewa tofauti yao?
Je unafahamu kwamba yaliwahi kufanyika majaribio ya kutaka kutoboa au kupasua mbingu, na walio fanya ndyo haohao wadau wa space program?
 
But their aim was to reach the heavens and see what's going on there, but they fail
If you're okay with believing the creator of the universe(benevolent creator) would get pissed if his creations tried to meet him, with no malicious intent, then go for it man.

But I'm sure you could do better.
 
Nini kilikuwa kinafanyika hapo, na lengo hasa lilikuwa ni lipi?
Baber(AKKADIAN).
kila Aina ya Matambiko yalifanyika hapo ili kufungua geti la mbinguni.
ulozi/ushirikina wa Kiwango cha juu vilifanywa hapo.
so,matambiko hayo yangelitimia uenda finaly wangeliweza kuingia mbiguni.na Mungu kuona hivyo akawachafulia lugha mapema Kabla hawajafikia lengo.
ndiyo maana ilo eneo(akkadian)linaitwa geti la mbinguni.
 
Back
Top Bottom