Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
Mungu alizuia jaribio hilo hapo awali, je kwa sasa hawezi kuzuia au hao wanaodai kwenda huko juu hakuna mahali wanafika?What is your logic here.
God is not fakeOr perhaps, God is fake?
I mean doesn't that story sound ridiculous?
Doesn't it look like it was made up by people with a crude understanding of the world?
The evidence is overwhelming.
Ni stori au historia ya kweli na wengi wanafahamu hilo, au labda uwe sio muumini katika maandiko ya MunguBabeli ni stori za kusadikika mnara gani hata uwezi kufikia mnara wa voda
Lengo lilikuwa kumfikia Mungu, na mnara ni kama ngazi ya kupanda kwenda juuThis is myopic and I will answer myopically. Ule mnara haukuwa na maana ya urefu wa kwenda juu Bali ilikuwa ni madhabahu ya malango ya kufikia mbingu ambayo Mungu anaishi.
So mfalme Nebkadneza kwa msaada wa wanefili alifuniliwa Siri mahali pa kuujenga huo mnara kama madhabahu na rituals za kufanya ili apate kuifikia mbingu ambayo waliamini Mungu anaishi.
Lengo lilikuwa lipi?Tatizo si jengo Bali lengo lao.
Think about it man,God is not fake
Hapa tu una certificate ya MUST, Je ungekuwa unasoma PhD University of Calfonia si ungekuwa unatulamba vibao wana JF. God is real we Kilaza. Usijifanye msomi.Or perhaps, God is fake?
I mean doesn't that story sound ridiculous?
Doesn't it look like it was made up by people with a crude understanding of the world?
The evidence is overwhelming.
But their aim was to reach the heavens and see what's going on there, but they failThink about it man,
It was thousands of years ago, people didn't have science, they didn't have empiricism
They wondered how does the float up there? They were afraid of diseases, death, and all uncertainties of life.
So they made up deities; simple explanations for the world around them, and a tool for social order and control.
Naona unashupaza shingo. Bro watu wanaoclaim wanaoneshwa unabii na Mungu je inakuwa by body physical mechanism? No it's by spiritual thing. So ule mnara ilikuwa ni ritual efforts za kufika kwa Mungu kiroho sio physical ngazi. Bhana eh nimechoka Wacha nimalizie chupa hii nikapumzike weekend imeshaisha hii.Lengo lilikuwa kumfikia Mungu, na mnara ni kama ngazi ya kupanda kwenda juu
Nawe unaamini walikuwa wanataka kufika mbinguni physically? Ile ilikuwa ni mwanzo wa ibada za miungu bwana mkubwa.But their aim was to reach the heavens and see what's going on there, but they fail
Hataka kama ulikuwa mwanzo, lakini lengo lao Mama lilikuwa ni lipi?Nawe unaamini walikuwa wanataka kufika mbinguni physically? Ile ilikuwa ni mwanzo wa ibada za miungu bwana mkubwa.