Kwanini Babeli na sio ISS?

Tatizo watu wanaisoma Bible kama riwaya.
Hapa mkuu umetoa ufunuo wa kutosha.
 
Ngoja aje hapa kujibu...ana account humu!
 
Hapa tu una certificate ya MUST, Je ungekuwa unasoma PhD University of Calfonia si ungekuwa unatulamba vibao wana JF.

God is real we Kilaza. Usijifanye msomi.
Kama huyo God ni real, Aje hapa ajidhihirishe mwenyewe.

Mnahangaika kumwongelea na kumuelezea Mungu ambaye hajawahi kuwepo na hayupo kuprove his reality.
 
Mungu alizuia jaribio hilo hapo awali, je kwa sasa hawezi kuzuia au hao wanaodai kwenda huko juu hakuna mahali wanafika?
Malengo ya awali kwa kila upande/zama tajwa ni yepi?
-Mmoja alitaka kuchungulia sebuleni kwa Mungu akabagazwa.
-Mwingine kapewa akili ya kuyatawala mazingira yake na anazitumia bila bughudha.
Umeelewa tofauti yao?
 
Malengo ya awali kwa kila upande/zama tajwa ni yepi?
-Mmoja alitaka kuchungulia sebuleni kwa Mungu akabagazwa.
-Mwingine kapewa akili ya kuyatawala mazingira yake na anazitumia bila bughudha.
Umeelewa tofauti yao?
Je unafahamu kwamba yaliwahi kufanyika majaribio ya kutaka kutoboa au kupasua mbingu, na walio fanya ndyo haohao wadau wa space program?
 
But their aim was to reach the heavens and see what's going on there, but they fail
If you're okay with believing the creator of the universe(benevolent creator) would get pissed if his creations tried to meet him, with no malicious intent, then go for it man.

But I'm sure you could do better.
 
Nini kilikuwa kinafanyika hapo, na lengo hasa lilikuwa ni lipi?
Baber(AKKADIAN).
kila Aina ya Matambiko yalifanyika hapo ili kufungua geti la mbinguni.
ulozi/ushirikina wa Kiwango cha juu vilifanywa hapo.
so,matambiko hayo yangelitimia uenda finaly wangeliweza kuingia mbiguni.na Mungu kuona hivyo akawachafulia lugha mapema Kabla hawajafikia lengo.
ndiyo maana ilo eneo(akkadian)linaitwa geti la mbinguni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…