johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
BAKWATA ndio chombo cha juu kabisa cha waislamu nchini Tanzania kikiongozwa na Mufti.
Hizi taasisi nyingine ni jumuiya tu lakini chombo kikuu chenye utambulisho wa kuwawakilisha waislamu kitaifa ni Bakwata.
Ndio maana hata kwenye Bunge la Katiba waislamu nchini Tanzania waliwakilishwa na BAKWATA.
Kwa kawaida BAKWATA huwa hawajiingizi sana kwenye maswala ya kisiasa sasa kwanini hawampi mwongozo sahihi Sheikh Ponda?
Hata kwenye siasa BAVICHA iko chini ya Chadema au UVCCM iko chini ya CCM na inapewa miongozo!
Maendeleo hayana vyama!