J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Jul 12, 2020 #1 BAKWATA ndio chombo cha juu kabisa cha waislamu nchini Tanzania kikiongozwa na Mufti. Hizi taasisi nyingine ni jumuiya tu lakini chombo kikuu chenye utambulisho wa kuwawakilisha waislamu kitaifa ni Bakwata. Ndio maana hata kwenye Bunge la Katiba waislamu nchini Tanzania waliwakilishwa na BAKWATA. Kwa kawaida BAKWATA huwa hawajiingizi sana kwenye maswala ya kisiasa sasa kwanini hawampi mwongozo sahihi Sheikh Ponda? Hata kwenye siasa BAVICHA iko chini ya Chadema au UVCCM iko chini ya CCM na inapewa miongozo! Maendeleo hayana vyama!
BAKWATA ndio chombo cha juu kabisa cha waislamu nchini Tanzania kikiongozwa na Mufti. Hizi taasisi nyingine ni jumuiya tu lakini chombo kikuu chenye utambulisho wa kuwawakilisha waislamu kitaifa ni Bakwata. Ndio maana hata kwenye Bunge la Katiba waislamu nchini Tanzania waliwakilishwa na BAKWATA. Kwa kawaida BAKWATA huwa hawajiingizi sana kwenye maswala ya kisiasa sasa kwanini hawampi mwongozo sahihi Sheikh Ponda? Hata kwenye siasa BAVICHA iko chini ya Chadema au UVCCM iko chini ya CCM na inapewa miongozo! Maendeleo hayana vyama!
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 23,928 Reaction score 63,499 Jul 12, 2020 #2 Bakwata ni CCM wezi tu.
Detective J JF-Expert Member Joined Oct 17, 2016 Posts 24,058 Reaction score 41,518 Jul 12, 2020 #3 Mimi sio muislam. Lakin niseme bakwata ni kama vile wako controled na serikal. I mean maamuzi makubwa lazima serikal iingilie
Mimi sio muislam. Lakin niseme bakwata ni kama vile wako controled na serikal. I mean maamuzi makubwa lazima serikal iingilie
kigogo warioba JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 6,048 Reaction score 9,398 Jul 12, 2020 #4 bakwata ni waikristo hivyo hawapendwi na waislam
A adolay JF-Expert Member Joined Dec 8, 2011 Posts 12,101 Reaction score 14,487 Jul 12, 2020 #5 Bakwata = ccm
A adolay JF-Expert Member Joined Dec 8, 2011 Posts 12,101 Reaction score 14,487 Jul 12, 2020 #6 RC = ccm
mdudu JF-Expert Member Joined Feb 6, 2014 Posts 7,013 Reaction score 10,000 Jul 12, 2020 #7 Bakwata ni chombo cha juu kabisa cha Serikali ,kilichoanzishwa ili kuwakontro waisilamu wanaotaka ukweli na uwazi.
Bakwata ni chombo cha juu kabisa cha Serikali ,kilichoanzishwa ili kuwakontro waisilamu wanaotaka ukweli na uwazi.
Kifaurongo JF-Expert Member Joined Jan 18, 2010 Posts 4,221 Reaction score 2,359 Jul 12, 2020 #8 Huyu alijitoa na haitambui hiyo Bakwata. Ndio maana aliunda na kusajili kama ilivyo Bakwata, taasisi yake binafsi na haiingiliwi na Bakwata.
Huyu alijitoa na haitambui hiyo Bakwata. Ndio maana aliunda na kusajili kama ilivyo Bakwata, taasisi yake binafsi na haiingiliwi na Bakwata.
Rubawa JF-Expert Member Joined Dec 25, 2015 Posts 2,055 Reaction score 3,254 Jul 12, 2020 #9 Ahaaaaaaa mnataka kutupangia tna Nani awe anatusemea Sawa Aina SHIDA. CCM OYEEE
S Sexless JF-Expert Member Joined Mar 11, 2017 Posts 23,683 Reaction score 55,898 Jul 12, 2020 #10 Hii awamu kila kundi linaisoma namba yake, kwasabb jiwe amejitahifi Sana kutugawa. Viongozi wa bakwata wanafidi mezani pa jiwe, hivyo hawana kauli tena. Hao Shura ya maimamu wala hawana lao.
Hii awamu kila kundi linaisoma namba yake, kwasabb jiwe amejitahifi Sana kutugawa. Viongozi wa bakwata wanafidi mezani pa jiwe, hivyo hawana kauli tena. Hao Shura ya maimamu wala hawana lao.