Kwanini balloon d or ni kwa halaand

Kwanini balloon d or ni kwa halaand

Mr Leo

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2021
Posts
604
Reaction score
1,269
Niwaondoe wasiwasi kuwa tunzo itaenda kwa haalaand ila kwa mtazamo wangu!

Na kabla sjaandika sana niweke wazi mimi shabiki wa mpira wa messi

ile balon d or ya messi ya 7 alichukua
alishinda ubingwa wa la laiga
aalishinda ubingwa wa copa america
alikuwa mchezaji bora wa mashindano hayo ya copa america
alikuwa top scorer huko copa america na la liga kama skosei

ila sababu nyingine( though it's a conspiracy) ndio alikuwa amefanya move ya kwenda PSG na kumbuka tunzo alipewa akiwa ni mchezaji wa PSG sasa wanasema kumbuka BALLON D OR ni tunzo iliyoasisiwa na wafaransa na hadi leo wanaitoa hao wafaransa, kwahiyo ilikuwa ni kama siasa pia tunzo ibaki kwao maana skumbuki au sjui ni lini tunzo imeenda kwa mchezaji anaecheza league 1, sio mchezaji mfaransa hapana I mean mchezaji anaekiwasha league 1

Turudi kwenye point yangu kwanini mtazamo wangu ni kuwa halaand ana nafasi kubwa??

Ukiachana na nanmba zao yeye na messi nani anastahili zaidi, ila kitendo cha messi na Argentina yake kuchukua WC dhidi ya France wala hakikiwapendeza wafaransa walio wengi and it's something obvious, maana wenzetu utaifa upo juu kuliko vilabu, na wengine pia wanasabisha pia ndio maana messi ameondoka France kwa heshima ya chini ambayo alikuwa aki deserve kama mchezaji mkubwa sana duniani

Najaribu tu kuconnect dots, namna ambavyo hakuwafurahisha kuchukua WC mbele ya rais wao alienda Qatar since Quarter final, namna alivyoondoka PSG Pasi na treatment nzuri na hao mabwana we can simply say tunzo ni zao maana waandaji ni wao na mchakato wanafanya wao na nyingine zote ni blah blah hawajawahi kuweka mambo wazi kuwa wanatumia mfumo gani kumpata huyo mchezaji bora....

Hivyo naona ni rahisi sana kwenda kwa halaand kuliko lapulga na bora iende kwa halaand maana anaweza asiipate tena
 
Umekunywa pombe gani J2 hii. Kitendo cha Argentina kuwafunga France ndo kitafanya Messi asipate tuzo?? Sababu tuzo inatolewa na wafaransa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umekunywa pombe gani J2 hii. Kitendo cha Argentina kuwafunga France ndo kitafanya Messi asipate tuzo?? Sababu tuzo inatolewa na wafaransa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni mtazamo tu, something ideally

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom