Kwa wanaofuatilia masuala ya diplomasia, wanatambua kuwa mara nyingi balozi za Marekani, Uingereza, Canada na Umoja wa Ulaya nchini Tanzania huwa mstari wa mbele kutoa matamko pindi viongozi wa upinzani wanapokamatwa. Kumbukumbu ya karibuni ni balozi hizo zilipoijia juu serikali ya Magufuli kufuatia kukamatwa kwa Marehemu Maalim Seif na viongozi mbalimbali waliokuwa wakipinga matokeo ya uchaguzi mkuu wa mwaka jana.
Hata hivyo, leo ni wiki kamili tangu Mbowe akamatwe na zaidi ya masaa 48 tangu afunguliwe mashtaka ya ugaidi lakini hakuna ubalozi wowote uliotoa tamko.
Kuna watakaosema "mbona kamati ya bunge la Marekani ilitoa tamko?" Actually, tamko lao lilitolewa kabla polisi hawajamtuhumu Mbowe kuhusu ugaidi.
Angalizo: Matamko ya balozi za wenzetu hao hutokana na ushauri wa mashirika yao ya intelijensia katika nchi husika. Ubalozi wa Marekani Dar una bureau ya CIA, ya Uingereza ina ofisi za MI6, Canada nao wana maafisa wao wa CSIS, na EUINTCENT kwa EU.
Cha msingi uwahakikishie wanachokitaka. Hata ungeua watu hadharani mchana kweupe, they won't bother!
Mzee Baba alikuwa anatishia maslahi yao. Chochote kilichowapa uchochoro wa kutoa matamko walikitumia hata kama hakina kichwa Wala miguu!
Wamegundua kwamba Mbowe anapigania tumbo lake badala ya kupigania maendeleo, amani na haki kupitia chama chake. Misaada mingi waliyompa alienda kuiteketeza Dubai na hawara zake.
Hawaoni umuhimu wowote kuingilia mambo ya ndani ya nchi. Hivi Tanzania ilishawahi kuzungumza lolote kuhusu watuhumiwa wa ugaidi waliopo Guantanamo bay?
Kwa wanaofuatilia masuala ya diplomasia, wanatambua kuwa mara nyingi balozi za Marekani, Uingereza, Canada na Umoja wa Ulaya nchini Tanzania huwa mstari wa mbele kutoa matamko pindi viongozi wa upinzani wanapokamatwa. Kumbukumbu ya karibuni ni balozi hizo zilipoijia juu serikali ya Magufuli kufuatia kukamatwa kwa Marehemu Maalim Seif na viongozi mbalimbali waliokuwa wakipinga matokeo ya uchaguzi mkuu wa mwaka jana...

Itakua imeandikwa na mchg ndio wana mtindo wa kimwanasesere kwa wazungu. Kwa nini asifikiri mbona balozi za wachina urusi india na zingine hazijasema kitu. Hayo mataifa aliyotaja ndio mabeberu wakubwa kazi yao kubwa kulinda maslahi yao kiuchumi.
Yaani seriously na wewe unaamini Mbowe Gaidi?
Gaidi anayetaka kulipua Petrol Stations?
Man sometimes uwe unafikiri kabla ya kuanzisha mada za ajabu ajabu!
Kwa wanaofuatilia masuala ya diplomasia, wanatambua kuwa mara nyingi balozi za Marekani, Uingereza, Canada na Umoja wa Ulaya nchini Tanzania huwa mstari wa mbele kutoa matamko pindi viongozi wa upinzani wanapokamatwa. Kumbukumbu ya karibuni ni balozi hizo zilipoijia juu serikali ya Magufuli kufuatia kukamatwa kwa Marehemu Maalim Seif na viongozi mbalimbali waliokuwa wakipinga matokeo ya uchaguzi mkuu wa mwaka jana....
Cha msingi uwahakikishie wanachokitaka. Hata ungeua watu hadharani mchana kweupe, they won't bother!
Mzee Baba alikuwa anatishia maslahi yao. Chochote kilichowapa uchochoro wa kutoa matamko walikitumia hata kama hakina kichwa Wala miguu!
Kwa wanaofuatilia masuala ya diplomasia, wanatambua kuwa mara nyingi balozi za Marekani, Uingereza, Canada na Umoja wa Ulaya nchini Tanzania huwa mstari wa mbele kutoa matamko pindi viongozi wa upinzani wanapokamatwa. Kumbukumbu ya karibuni ni balozi hizo zilipoijia juu serikali ya Magufuli kufuatia kukamatwa kwa Marehemu Maalim Seif na viongozi mbalimbali waliokuwa wakipinga matokeo ya uchaguzi mkuu wa mwaka jana...
Muhimu ukatambua suala la Mbowe ni letu sisi. Nani anasema nini si issue japo kwa kila anayetuunga mkono tutamshukuru.
Sina hakika kwanini umewachagua hao wala si Namibia, Haiti au hata Srilanka? Kwani hao wameshatoa matamko ama?
Nisiache kukufahamisha tulikuwa na shughuli kubwa hapa. Hii moja iliyokuwa ya dharura zaidi kwenye kijani yumkini sasa labda inakwisha au kuelekea ukingoni:
Amesikika mheshimiwa SSH jana akiongelea tozo za miamala na bei za mbolea. Akijinasibu kuwa huko ndiko kusikia kwa serikali yake sikivu. Ikumbukwe kuwa za moto zaidi kwenye ajenda zimekuwa: 1. Ongezeko la kodi na tozo mbalimbali. 2. Vita dhidi ya Corona ikiwamo chanjo na tahadhari husika. 3...
www.jamiiforums.com
Pana mbili hapo bado sana.
Swali kidogo kwako tafadhali:
"Hivi wewe ulimkimbia nani? Wameenda kina Nkapa, JK, Jiwe sasa Mama. Wamkimbia nani jombi? Warudi lini nyumbani kuliko noga?"