Ni muda tu wamewapa serikali lakini watatoa habari tuKwa wanaofuatilia masuala ya diplomasia, wanatambua kuwa mara nyingi balozi za Marekani, Uingereza, Canada na Umoja wa Ulaya nchini Tanzania huwa mstari wa mbele kutoa matamko pindi viongozi wa upinzani wanapokamatwa. Kumbukumbu ya karibuni ni balozi hizo zilipoijia juu serikali ya Magufuli kufuatia kukamatwa kwa Marehemu Maalim Seif na viongozi mbalimbali waliokuwa wakipinga matokeo ya uchaguzi mkuu wa mwaka jana...
Wewe hata huwa hueleweki unasimamia nini. You are a hopeless fellow who deserve to be ignored by any sane person.Kwa wanaofuatilia masuala ya diplomasia, wanatambua kuwa mara nyingi balozi za Marekani, Uingereza, Canada na Umoja wa Ulaya nchini Tanzania huwa mstari wa mbele kutoa matamko pindi viongozi wa upinzani wanapokamatwa. Kumbukumbu ya karibuni ni balozi hizo zilipoijia juu serikali ya Magufuli kufuatia kukamatwa kwa Marehemu Maalim Seif na viongozi mbalimbali waliokuwa wakipinga matokeo ya uchaguzi mkuu wa mwaka jana...
Kwani Magufuli alipokuwa anawapoteza Watanzania mpaka wewe Kukimbia hizo Balozi zilisemaje?Kwa wanaofuatilia masuala ya diplomasia, wanatambua kuwa mara nyingi balozi za Marekani, Uingereza, Canada na Umoja wa Ulaya nchini Tanzania huwa mstari wa mbele kutoa matamko pindi viongozi wa upinzani wanapokamatwa. Kumbukumbu ya karibuni ni balozi hizo zilipoijia juu serikali ya Magufuli kufuatia kukamatwa kwa Marehemu Maalim Seif na viongozi mbalimbali waliokuwa wakipinga matokeo ya uchaguzi mkuu wa mwaka jana...
Soma para ya 4 kwenye post #1.... kwa upande wa Marekani statement hiyo ilitoka; nisicho na hakika nacho ni kama ya Ubalozi ina power kuliko hiyo; Rep. Bass Statement on the Arrest of Tanzanian Opposition Leader and Party Members
Cha msingi uwahakikishie wanachokitaka. Hata ungeua watu hadharani mchana kweupe, they won't bother!
Mzee Baba alikuwa anatishia maslahi yao. Chochote kilichowapa uchochoro wa kutoa matamko walikitumia hata kama hakina kichwa Wala miguu!
Wakudadavuwa amepika pilau kabisaMnafurahia tu mtanzania mwenzenu Mbowe kuteseka gerezani kwa kumbambikizia kesi.
Hii ndio hoja ya mwanaccm ChahaliSababu wanajua tuhuma zake za ugaidi ni za kweli.
π π π
Yaani seriously na wewe unaamini Mbowe Gaidi?
Gaidi anayetaka kulipua Petrol Stations?
Man sometimes uwe unafikiri kabla ya kuanzisha mada za ajabu ajabu!