Kwanini bangi ni kitu kinachopatikana duniani kote ila kinazuiwa kuuzwa?

Kwanini bangi ni kitu kinachopatikana duniani kote ila kinazuiwa kuuzwa?

Swahili_Patriot

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2018
Posts
358
Reaction score
831
Hivi kwanin kila nchi, kila sahemu haikosekani bang?

Nimepitia Kenya mitaa ya town pale kwa madhee na nk, theka theka mako go hadi del monte kule kwenye mlima, kisii mitaa ya keroka, gesima hadi mosobeti na masehemu kibao mengine.

Ni mzawa wa dar, nimeishi kko, Palestina hadi mori, majumba6, randabaa kule kigogo na kwa sasa nipo mbezi.

Sehemu zote nilizoishi, nimekuwa mdau mkubwa sana wa kijiti. Kwa kawaida, ninaposafiri kutoka eneo moja hadi nyingine, sibebangi a blunt. Ila katika kila eneo ninalipita, lazima nitatafuta sehemu kijiti kinapouzwa na trust me, nitampata sadali na nitakipata kijiti.

Kutokana n hili, ninamaswali mengi sana bila majibu. Hivi kwanini kijiti ndio zao pekee ambalo linapatikana kila kona ya dunia?? Kwanini kinakataliwa ila cancer stick aka sigara inauzwa kihalali kote.

Kwanini watu wanapersieve watumiaji wa kijiti wanaaminiwa kuwa ni watu waliopoteza dira. Hivi kwanini..
 
tazama hii kwanza
FB_IMG_1708660282542.jpg
 
Supply and demand.
You control the supply to keep the demand high.......
 
Ni kama vile wanawake walivyokuwa wanazuiwa kupiga kura kwenye nchi karibia zote duniani ila baadaye wakaruhusiwa, bangi itaruhusiwa tu na nyingi kadri muda unavyoenda mbele.
 
Back
Top Bottom