Kwanini bango la "Kijazi Interchange" halipo tena?

Itoye

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2017
Posts
531
Reaction score
1,023
Salaam,

Naomba kufahamu Je! Jina la daraja la Ubungo almaarufu Kijazi Interchange limebadilishwa au mamlaka husika wanatengeneza bango bora zaidi?

Maana lile bango lililokua na jina halipo tena.
 
Si lilikuwa tambara lile mkuu, lilibebwa na upepo, watakuwa wanatengeneza lingine
 
Salaam,

Naomba kufahamu Je! Jina la daraja la Ubungo almaarufu Kijazi Interchange limebadilishwa au mamlaka husika wanatengeneza bango bora zaidi?

Maana lile bango lililokua na jina halipo tena.
Liitwe Robert Mugabe Inter Change,
 
Back
Top Bottom