Kertel
JF-Expert Member
- May 11, 2012
- 5,425
- 5,227
Walilipwa kwa kodi zetu na lilikua jukumu laoAcha roho mbaya. Soma mambo makubwa waliofanyia nchi hii. Kuandaa mpango wa kujenga madaraja na barabara nchi nzima ambao unaendelea kutumia hadi leo wewe tunaona kazi ndogo. Kuanzisha TANROADS na alisimamia hadi akawa kampeini inayosimamima barabara kuu nchini tunaona kitu kidogo. Sisi sote tunaendelea kufaidika na hao waliotangulia. Eng Kijazi na Mfugale ameonyesha umuhimu wa wasomi nchi hii. Mpumzike kwa amani.