Kwanini bango la "Kijazi Interchange" halipo tena?

Kwanini bango la "Kijazi Interchange" halipo tena?

Acha roho mbaya. Soma mambo makubwa waliofanyia nchi hii. Kuandaa mpango wa kujenga madaraja na barabara nchi nzima ambao unaendelea kutumia hadi leo wewe tunaona kazi ndogo. Kuanzisha TANROADS na alisimamia hadi akawa kampeini inayosimamima barabara kuu nchini tunaona kitu kidogo. Sisi sote tunaendelea kufaidika na hao waliotangulia. Eng Kijazi na Mfugale ameonyesha umuhimu wa wasomi nchi hii. Mpumzike kwa amani.
Walilipwa kwa kodi zetu na lilikua jukumu lao
 
Salaam,

Naomba kufahamu Je! Jina la daraja la Ubungo almaarufu Kijazi Interchange limebadilishwa au mamlaka husika wanatengeneza bango bora zaidi?

Maana lile bango lililokua na jina halipo tena.
Daraja si lipo, jina sio shida kila mtu aliite anavyotaka
 
Yafutwe yameshindwa kusound, ukimwambia mtu daraja la kijazi, mfugale, magufuli au stand ya magufuli atashindwa kujua yapo wapi.Jina sahihi linalosound ni daraja la ubungo, tazara, kilombero,stand ya mabus mbezi.Majina yote mapya hayo yameshindwa kusound
100%✔️
 
Yaani Mwendazake kuna baadhi ya mambo alikuwa mshamba sana, na alikuwa anaturudisha nyuma sana. Kila kitu anataka asikilizwe yeye tu na si wananchi. Walikuwa wabinasfi sana.

Mpka huyu Ndugai eti naye ana soko sijui upuuzi gani huko Dodoma,[emoji28]

UBUNGO INTERCHANGE BRIDGE ilikuwa ni bora kabisa.[emoji30][emoji114]
 
Acha uongo kijana, Tanroads imeanzishwa na Executive Agencies Act ambayo iliwekwa kuanzisha Mamlaka mbalimbali zitakazikuwa chini ya wizara zote ndio maana unasikia Mamlaka ya Bandari, etc then hizo Mamlaka zinakuwa na Sheria zake.

Mfugale sio DG wa kwanza pale Tanroads kuliwahi kuwa na DG alikaa muda kuijenga Tanroads kitaasisi mpaka unaiona hivyo ilivyo jamaa sikumbuki jina just Google.

Mfugale alikuja baadae kidogo na hata hizo flyover hakuzichora yeye sanasana alibadili michoro ya wahisani akaweka ya kwao kupunguza baadhi ya structure wanapiga hela na jamaa yake especially pale ubungo Ile mchoro wenyewe ulibadilishwa.

Sasa kuhusu wao kusimamia madaraja ilikuwa kazi yao sababu walikuwa mameneja wa mkoa na baadae ndio akawa Meneja wa barabara nk. So nothing new ndio maana unaona kuna Meneja wa mkoa mfano pale mwanza ndio anasimamia kwa ukaribubsana like Daraja la busisi lakini kutwa mnamsifia mfugale tu

Hao mameneja wa mkoa ndio wanapiga kazi mfugale hata kuchora hajachora wapo wenye Idara zao yeye ni kuwa briefed na kuapprove basi.

Sasa hizi sifa kwakweli dah

Back
Top Bottom