Kwakua watu wake ni empty headedNi kwa nini duniani kote inajulikana kuwa Bara la Afrika ni sehemu ya kwenda kuiba au kuchukua vitu pasipo na wenyeji wake kuonyesha kujitetea?
Hii hali inazidi kuwa kubwa kadri siku zinavyosonga. Tulifikiri uhuru utaondoa hili, lakini wapi.
Tulifikiri Elimu na teknolojia vitaondoa hili, lakini wapi.
Kila hatua ambayo Afrika inapitia ni hatua ya kuzidi kurusu UTAWALA MPYA WA BARA LA AFRIKA. Ni kwa nini na ni nini kifanyike ili kuondoa hili?
Kwa ufupi tu wewe muafrika hauko huru, uhuru ulionao ni wa bendera tu basiChanzo ya hivyo vyote ni colonialism, wazungu walivyo kuja kututawala walitufanya tuwe dependents kwao kwa kila engo ya maisha kiuchumi, kisiasa na kijamii, hivyo hata baada ya uhuru hatukuweza kujisaidia sisi kama Sisi kwa sababu tulikuwa bado tupo duni kiuchumi na hilo halitakuja kubadilika labda tu viongozi wa Afrika wawe wazalendo.
Sijasoma mada yako. mbali ya kichwa cha mada yenyewe.Ni kwa nini duniani kote inajulikana kuwa Bara la Afrika ni sehemu ya kwenda kuiba au kuchukua vitu pasipo na wenyeji wake kuonyesha kujitetea?