Hivi huwaga niWakati inatarajiwa ndo ziwe nzuri zaidi kuliko zingine kwasababu rasilimali ya inchi imepita mle!
Kwani unaitamkaje ww huko?Hivi huwaga ni
Inchi - Nchi ?
Nasemea kiuandishi mkuu,,.Kwani unaitamkaje ww huko?
Kinachoandikwa Si kinatamkwa? Wewe unatamkaje kwani?Nasemea kiuandishi mkuu,,.
MkuuKinachoandikwa Si kinatamkwa? Wewe unatamkaje kwani?
Bujibuji nafahamu unajua mambo Haya ebu tuambie kwanini barabara zao mbovu hao jamaa zako wakati mafuta ni mgodiWageni hao
Turudi kwenye mada mkuu wengine siyo wataalam sana wa lughaMkuu
Neno me too - kiutamkaji ni mi tu
Hapo unifafanulie tu sio tubishane
Ngoja tuwasubiri wataalam watoke site!Itakuwa gesi inaipuliza barabara
Pole sana kwa kutokujua; ZILE SIYO BARABARA RASMI kwa ajili ya wapita njia, Zile ni reserve za mamlaka ya mafuta na gesi ambapo Mali zake zimepita!Ebu wataalam tuelimisheni!
Ipi siri ya ubovu wa barabara zilizochini ya umiliki wa TAZAMA na GESI ASILIA?
Ina maana huwa haziingizwi kwenye bajeti ya TARURA/TANROAD?
Nani anawajibika kuzifanyia matengenezo?
Zitakaa na uchakavu wa namla ile hadi lini?
Ipi haswa sababu ya msingi kuwa chakavu barabara zao wakati TAZAMA wanamiliki mgodi wa pesa?
Au hadi rais aseme?
Kwahiyo, tunafanya makosa kupita kwenye hizo njia tusizitegemee! Mfano, kule tegeta, au kule mbagala kuu zackiem, au kule kigamboni TAZAMA n.kPole sana kwa kutokujua; ZILE SIYO BARABARA RASMI kwa ajili ya wapita njia, Zile ni reserve za mamlaka ya mafuta na gesi ambapo Mali zake zimepita!
Ni kama Tanesco walivypitisha nyaya za umeme halafu watu watembee juu ya nyaya za Umeme kama njia!
Hivyo kama ilivyo Tanesco, na maeneo hayo ndivyo yalivyo! Hayapaswi kuendelezwa kwa matumizi mengine mbali na kuhifadhi bomba za mafuta na gesi!
Ni kosa kisheria kuchimba au kulima au kufanya matengenezo yoyote maeneo yaliyopitiwa na mindombinu hiyo!
Pia ni kosa kupitisha mitambo mizito juu ya miundombinu hivyo!
Samahani kama nimekosea wenzangu watakuja kunisahihisha
Kuna mdau kasema zile siyo barabara, tunafanya makosa kuzitumia