Kwanini barua za kiofisi zinazotolewa public ziko kihuni, bila mhuri, bila sahihi?

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
901
Reaction score
1,742
Huu uhuni tumeanza lini ?

Barua ya Katibu Kiongozi inatoka haina mhuri haina signature ?

Unajua hata nzi ameamua kua mhuni tu ndio maana anasambaza kipindupindu lakiji angeamua kua na akili angetengeneza asali kama mwenzie nyuki. T

unaweza kuamua kua serious kidogo? Kidogo tu

 
Hiyo bibi na bwana ni zaidi ya signature na muhuri. International standards
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…