Kwanini Bashe anatetewa hivi bungeni? Je, sukari bei imeshuka?

Bashe yupo kundi la mafisadi akipewa usaidizi na Spika Tulia chini ya uangalizi wa mama Abdul.

Bunge kwa sasa limetawaliwa na mafisadi wala nchi, kuanzia DPW mpaka sukari.
huo ni ufinyu wa mawazo na kuishiwa point nyambafu
 
Itoshe kusema.. 2025 tutajitetea sisi wananchi siyo hao wanaotetea ugali wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…