Kwanini BBC Swahili (Dira ya Dunia) leo hawajaipa Kipaumbele Taarifa ya Uteuzi ya Zuhura Yunus?

Kwanini BBC Swahili (Dira ya Dunia) leo hawajaipa Kipaumbele Taarifa ya Uteuzi ya Zuhura Yunus?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Je,

1. Wamewiwa na Wivu juu yake?

2. Walimpenda Kinafiki?

3. Alikuwa hakai vyema na Wenzake?

4. Ni muendelezo wa tabia ya Wana Afrika Mashariki kutopendana?

5. Hawajaamini macho na Masikio yao?

6. Walitaka akitoka London BBC aje Kuuanza Umasikini Dar es Salaam?

7. Wanaonyesha Chuki dhahiri Kwake?

Majibu yenu ni Muhimu sana tu hapa.
 
muda ulikuwa hautoshi huenda jambo hilo watalipa uzito kesho alfajiri
Kuna Habari moja leo haikuwa na Uzito kuizidi ya Uteuzi wa Zuhura Yunus.

Na hawa BBC Swahili ( iliyojaa Watanzania wengi waliojaa Majungu tupu ) nina uhakika ingekuwa si Zuhura Yunus leo hii hii katika dakika zao 60 wangelazimisha tu waizungumze / waitangaze.

Sawa BBC Swahili leo hawakuwa na muda wa Kuisema Taarifa ya Uteuzi wa Zuhura Yunus ina maana hata Kuigusia tu kwa Kifupi ( Breaking it ) kama wafanyavyo kwa zingine wameshindwa au haikuwezekana?

Waache Unafiki na tuachane tu Unafiki.
 
Je,

1. Wamewiwa na Wivu juu yake?

2. Walimpenda Kinafiki?

3. Alikuwa hakai vyema na Wenzake?

4. Ni muendelezo wa tabia ya Wana Afrika Mashariki kutopendana?

5. Hawajaamini macho na Masikio yao?

6. Walitaka akitoka London BBC aje Kuuanza Umasikini Dar es Salaam?

7. Wanaonyesha Chuki dhahiri Kwake?

Majibu yenu ni Muhimu sana tu hapa.
Nimemkumbuka ndugu yangu GENTAMYCINE na aina yake ya uandishi
 
Hakuna anayejua. Kateuliwa muda gani? Pengine wanasubiri kutoa taarifa iliyokamika baada ya leo.
 
Ask MI6
 
Nimemkumbuka ndugu yangu GENTAMYCINE na aina yake ya uandishi
Natamani sana tu nami niwe kama Yeye Kiuwasilishaji na Kiudadavuaji wa Masuala na Mambo hapa JamiiForums, ila sijabarikiwa kama Yeye kwani ni wa Kipekee mno japo anaonekana ni Mtu very Principled, Confident, Einstein but very short Tempered. Kapotea wapi Ndugu?
 
Anaishi ndani yako. Mu mwili mmoja, nafsi moja
 
Zuhura ni Mkurugenzi Ikulu. Hao BBC bado ni wadogo kwa Zuhura so wapost wasipost haibadili kitu
 
Unajuaje wanapanga kumfanyia Farewell Party?

Huwajui Waingereza...
 
Hakuna anayejua. Kateuliwa muda gani? Pengine wanasubiri kutoa taarifa iliyokamika baada ya leo.
If so why have they just failed even to break it like for others Stories / News items? Remember She was their Workmate and very Senior to many whom She left there the likes of Regina Mziwanda ( Formely Regina Mwalekwa ), Scholastica Kisanga and Florian Kaijage.
 
Natamani sana tu nami niwe kama Yeye Kiuwasilishaji na Kiudadavuaji wa Masuala na Mambo hapa JamiiForums, ila sijabarikiwa kama Yeye kwani ni wa Kipekee mno japo anaonekana ni Mtu very Principled, Confident, Einstein but very short Tempered. Kapotea wapi Ndugu?
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Zuhura ni Mkurugenzi Ikulu. Hao BBC bado ni wadogo kwa Zuhura so wapost wasipost haibadili kitu
Je, huoni kwa hata Wao BBC Kushindwa tu just to break it katika BBC Dira ya Dunia jioni ya leo inatuachia Wadau na Wafukunyuku wa Masuala maswali mengi?
 
wataisoma tuu ile sio familia muda wa tanzania na uk sio tofauti sana ila maanfalizi ya kipindi hayabebi taarifa za ghafla kama mkiwa mmefiwa na raisi,mlipuko,au mauaji kama sio ajali ya watu au mtu maarfu,

leo hioo habari itasomwa
 
Unajuaje wanapanga kumfanyia Farewell Party?

Huwajui Waingereza...
Hiyo farewell party afanyiwe mara Mbili Ndugu? au hujui kuwa tayari Zuhura Yunus yupo hapa Mjini down Town Dar es Salaam kwa Siku kadhaa tu sasa?
 
wataisoma tuu ile sio familia muda wa tanzania na uk sio tofauti sana ila maanfalizi ya kipindi hayabebi taarifa za ghafla kama mkiwa mmefiwa na raisi,mlipuko,au mauaji kama sio ajali ya watu au mtu maarfu,

leo hioo habari itasomwa
Taarifa ya Yule Mtoto Bilionea mbona wameweza Kuiweka ( Kuitangaza ) na kuipa airtime wameshindwa nini hata Kuitangaza tu hii ya Uteuzi wa Zuhura Yunus na hata kama siyo Kuidadavua kiundani?

Tokea BBC Swahili iwe dominated na Watangazaji wa Kiswahili kutoka Tanzania imekuwa ni ya Kiswahili Kiswahili hivi kwa aina ya Utangazaji tofauti na miaka ya nyuma.
 
Back
Top Bottom