Kwanini BBC Swahili (Dira ya Dunia) leo hawajaipa Kipaumbele Taarifa ya Uteuzi ya Zuhura Yunus?

Kwanini BBC Swahili (Dira ya Dunia) leo hawajaipa Kipaumbele Taarifa ya Uteuzi ya Zuhura Yunus?

Umepigwa na kitu kizito unaleta mipasho,

Nyie ndo jamii ya kina Aristoste [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Usivamie usiowajua ndio maana mnaishia kuingiziwa dudu huko nyuma na kuachiwa mimba zisizo na bwana unaleta stress za kumwagiwa shahawa nyuma na mbele na baba mtoto humjui.

Acha shobo chausiku wengine tunakumwagia kwenye kila tundu shauri yako sio unavamia tu mada we deal na mleta mada sio wengine, utapasuka mdhuti.
 
Wanashangaa muingereza kupewa shavu Tz na hakuna mkataba waliopewa na walio mchukua kutoka kwao
 
Wanafanya kiuledi zaidi wanasubiri aanze kaz
 
Natamani sana tu nami niwe kama Yeye Kiuwasilishaji na Kiudadavuaji wa Masuala na Mambo hapa JamiiForums, ila sijabarikiwa kama Yeye kwani ni wa Kipekee mno japo anaonekana ni Mtu very Principled, Confident, Einstein but very short Tempered. Kapotea wapi Ndugu?

😁😁😁 we jamaa...
 
Ndio ujue kwamba hicho kiti unachokalia ofisini once you are gone anakalia mwingine na unasahaulika, jiandae hata na miradi ya kuku.

Imagine hapo amepanda cheo ila hawajahangaika nae kwanza wazungu hawanaga shobo Kama sisi weuzi tunajikomba ili akukumbuke hata cheo.

Angalia TBCCM wanavyopapalika utadhani atakuwa anawagaia mshahara wake.

ITV waliposikia Abdallah Mwaipaya amekuwa DC tu yaani walijikomba utadhani amekuwa DC wa ITV. Au enzi Ile Godwin Gondwe.

Mzungu haangaiki nawe walishamuaga wakampa cheti na zawadi ya utumishi Bora na wakamtakia maisha mema anakoenda it's obvious hakutaka kuongeza mkataba alishajua anaelekea wapi.
Hajapanda cheo bali ameenda sehemu yenye maslahi zaidi kwake, BBC ni shirika la utangazaji la Uingereza la kimataifa ambalo halihusiani kabisa na serikali ya Tanzania.
 
Hiyo farewell party afanyiwe mara Mbili Ndugu? au hujui kuwa tayari Zuhura Yunus yupo hapa Mjini down Town Dar es Salaam kwa Siku kadhaa tu sasa?
Gentaaaa hii ID MPYA huitendei haki
 
Sijasema BBC ya Saa 3 Usiku bali nimehoji kwanini kule BBC Swahili Dira ya Dunia alikozoeleka na Kudumu they didn't break her Story kuwa ameteuliwa na Rais Samia? Muwe mnasoma Hoja kabla ya Kukurupuka Kuchangia hapa JamiiForums sawa?
Sio kila story inapaswa kuwa breaking. Ameacha kazi na kuhamia taassi nyingine ambayo BBC inahusika kumulika utendaji wake, hiyo haiwezi kuwa breaking news.

Haikuwa breaking news pia kwa sababu Zuhura alikuwa ni news anchor/mtangaza habari tu, hawa watu kwenye tasnia ya habari huwa hawaachi legacy kubwa kama interviewers mfano wa Stephen Sackur wa HardTalk.
 
Je,

1. Wamewiwa na Wivu juu yake?

2. Walimpenda Kinafiki?

3. Alikuwa hakai vyema na Wenzake?

4. Ni muendelezo wa tabia ya Wana Afrika Mashariki kutopendana?

5. Hawajaamini macho na Masikio yao?

6. Walitaka akitoka London BBC aje Kuuanza Umasikini Dar es Salaam?

7. Wanaonyesha Chuki dhahiri Kwake?

Majibu yenu ni Muhimu sana tu hapa.
Hufuatilii habari za BBC, jana usiku wamefanya mahojiano nae kwa urefu sana kwenye TV
 
Je,

1. Wamewiwa na Wivu juu yake?

2. Walimpenda Kinafiki?

3. Alikuwa hakai vyema na Wenzake?

4. Ni muendelezo wa tabia ya Wana Afrika Mashariki kutopendana?

5. Hawajaamini macho na Masikio yao?

6. Walitaka akitoka London BBC aje Kuuanza Umasikini Dar es Salaam?

7. Wanaonyesha Chuki dhahiri Kwake?

Majibu yenu ni Muhimu sana tu hapa.
Wani wao ndiyo wamemteua?
BBC wanashughulika na mambo makubwa Duniani na teuzi,
 
Mbona nimeona anahojiwa sana?
Au
 
Mbona ilitangazwa kwa urefu kabisa na alihojiwa akiwa studio
 
Je,

1. Wamewiwa na Wivu juu yake?

2. Walimpenda Kinafiki?

3. Alikuwa hakai vyema na Wenzake?

4. Ni muendelezo wa tabia ya Wana Afrika Mashariki kutopendana?

5. Hawajaamini macho na Masikio yao?

6. Walitaka akitoka London BBC aje Kuuanza Umasikini Dar es Salaam?

7. Wanaonyesha Chuki dhahiri Kwake?

Majibu yenu ni Muhimu sana tu hapa.
Zuhura ana utajiri wa karibu bilion 3,, kwa mujibu wa chanzo kimoja cha habari
 
Taarifa ya Yule Mtoto Bilionea mbona wameweza Kuiweka ( Kuitangaza ) na kuipa airtime wameshindwa nini hata Kuitangaza tu hii ya Uteuzi wa Zuhura Yunus na hata kama siyo Kuidadavua kiundani?

Tokea BBC Swahili iwe dominated na Watangazaji wa Kiswahili kutoka Tanzania imekuwa ni ya Kiswahili Kiswahili hivi kwa aina ya Utangazaji tofauti na miaka ya nyuma.
Toka waanze kuchukua watangazaji wenye asili ya mikoani BBC swahili imekuwa ya kimajungu jungu sana [emoji23],si mda mrefu wataanza kuchawiana
 
Back
Top Bottom