MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Kuna Habari moja leo haikuwa na Uzito kuizidi ya Uteuzi wa Zuhura Yunus.muda ulikuwa hautoshi huenda jambo hilo watalipa uzito kesho alfajiri
Naanza tu nami Kuamini nilichogusiwa.
Nimemkumbuka ndugu yangu GENTAMYCINE na aina yake ya uandishiJe,
1. Wamewiwa na Wivu juu yake?
2. Walimpenda Kinafiki?
3. Alikuwa hakai vyema na Wenzake?
4. Ni muendelezo wa tabia ya Wana Afrika Mashariki kutopendana?
5. Hawajaamini macho na Masikio yao?
6. Walitaka akitoka London BBC aje Kuuanza Umasikini Dar es Salaam?
7. Wanaonyesha Chuki dhahiri Kwake?
Majibu yenu ni Muhimu sana tu hapa.
Hakuna anayejua. Kateuliwa muda gani? Pengine wanasubiri kutoa taarifa iliyokamika baada ya leo.Je,
1. Wamewiwa na Wivu juu yake?
2. Walimpenda Kinafiki?
3. Alikuwa hakai vyema na Wenzake?
4. Ni muendelezo wa tabia ya Wana Afrika Mashariki kutopendana?
5. Hawajaamini macho na Masikio yao?
6. Walitaka akitoka London BBC aje Kuuanza Umasikini Dar es Salaam?
7. Wanaonyesha Chuki dhahiri Kwake?
Majibu yenu ni Muhimu sana tu hapa.
Ask MI6Je,
1. Wamewiwa na Wivu juu yake?
2. Walimpenda Kinafiki?
3. Alikuwa hakai vyema na Wenzake?
4. Ni muendelezo wa tabia ya Wana Afrika Mashariki kutopendana?
5. Hawajaamini macho na Masikio yao?
6. Walitaka akitoka London BBC aje Kuuanza Umasikini Dar es Salaam?
7. Wanaonyesha Chuki dhahiri Kwake?
Majibu yenu ni Muhimu sana tu hapa.
Natamani sana tu nami niwe kama Yeye Kiuwasilishaji na Kiudadavuaji wa Masuala na Mambo hapa JamiiForums, ila sijabarikiwa kama Yeye kwani ni wa Kipekee mno japo anaonekana ni Mtu very Principled, Confident, Einstein but very short Tempered. Kapotea wapi Ndugu?Nimemkumbuka ndugu yangu GENTAMYCINE na aina yake ya uandishi
Anaishi ndani yako. Mu mwili mmoja, nafsi mojaNatamani sana tu nami niwe kama Yeye Kiuwasilishaji na Kiudadavuaji wa Masuala na Mambo hapa JamiiForums, ila sijabarikiwa kama Yeye kwani ni wa Kipekee mno japo anaonekana ni Mtu very Principled, Confident, Einstein but very short Tempered. Kapotea wapi Ndugu?
If so why have they just failed even to break it like for others Stories / News items? Remember She was their Workmate and very Senior to many whom She left there the likes of Regina Mziwanda ( Formely Regina Mwalekwa ), Scholastica Kisanga and Florian Kaijage.Hakuna anayejua. Kateuliwa muda gani? Pengine wanasubiri kutoa taarifa iliyokamika baada ya leo.
[emoji23][emoji23][emoji23]Natamani sana tu nami niwe kama Yeye Kiuwasilishaji na Kiudadavuaji wa Masuala na Mambo hapa JamiiForums, ila sijabarikiwa kama Yeye kwani ni wa Kipekee mno japo anaonekana ni Mtu very Principled, Confident, Einstein but very short Tempered. Kapotea wapi Ndugu?
Je, huoni kwa hata Wao BBC Kushindwa tu just to break it katika BBC Dira ya Dunia jioni ya leo inatuachia Wadau na Wafukunyuku wa Masuala maswali mengi?Zuhura ni Mkurugenzi Ikulu. Hao BBC bado ni wadogo kwa Zuhura so wapost wasipost haibadili kitu
Hiyo farewell party afanyiwe mara Mbili Ndugu? au hujui kuwa tayari Zuhura Yunus yupo hapa Mjini down Town Dar es Salaam kwa Siku kadhaa tu sasa?Unajuaje wanapanga kumfanyia Farewell Party?
Huwajui Waingereza...
Taarifa ya Yule Mtoto Bilionea mbona wameweza Kuiweka ( Kuitangaza ) na kuipa airtime wameshindwa nini hata Kuitangaza tu hii ya Uteuzi wa Zuhura Yunus na hata kama siyo Kuidadavua kiundani?wataisoma tuu ile sio familia muda wa tanzania na uk sio tofauti sana ila maanfalizi ya kipindi hayabebi taarifa za ghafla kama mkiwa mmefiwa na raisi,mlipuko,au mauaji kama sio ajali ya watu au mtu maarfu,
leo hioo habari itasomwa