Kwanini bei ya mfuko wa cement haishuki?

Job Richard

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2013
Posts
3,876
Reaction score
2,190
Najitahidi kujiuliza cement tunaizalisha hapa hapa nchini bado haishuki ndo inazidi kupanda TUSAIDINE KATIKA HILI
 
kwasababu mahitaji ya cement ni mengi kulinganisha na uzalishaji wake? demand and supply..
 
itashukaje wakati umeme sio wa uhakika?viwanda kutwa vinaungurumisha mitambo mizito kwa mafuta?serikali ikiimalisha nishati na upatikanaji wake ukiwa mzuri na kwa bei nfuu basi kila bidhaa itashuka bei.pia mikodi inayotozwa viwandani kwenye bidha na kiwanda ni kufuru,usitegemee bidhaa yoyote inayozalishwa nchini kushuka bei.wenzetu serikli zao zinatoauzuku kwa iwanda vikubwa vinvyotengenezabidhaa sensitive ili zpatikane kwa wing na bei rahisi ndio maana cement ya Pakistan naeza uzwaoo adi 10000!!!!
 
Hahahaha,
Kamugisha,bangi mbaya
Jamaa angeuliza mbona mahari alioolea mzee ilikuwa cent tano na sasa ni mamilioni?
Angepata jibu huko na kulinganisha maisha yalivyo


kumbe mzee wa bangi alipe kodi huyo huku segerea ikimsubiri
 
Inaweza kushuka baada ya miaka kumi ngoja wafukuzani na hizi fisadi kwanza
 


Duuuh sasa tunanyonyoka huku MAWIWANDA MENGI HAPA KWETU YENYEWE INAZIDI KUPANDA BEI na kibaya pakistan nilisikia mpaka kufika hapa 5000kwanini tusiuziwe bei linganifu walau 10000 ina maana karibu 7000 ni kodi tu

pia KWANINI WAMEMKATALIA DANGOTE KUIUZA KWA BEI YA CHINI MPAKA ANAISAFIRISHA NJE YA NCHI
umeme
hilo linatataturika na gesi je mbona haishuki tu ?
 
Atangaze tu magufuri bei ya mfuko elfu 5 tumechoka nyumba za matope aibu sana tz.
 
kwasababu mahitaji ya cement ni mengi kulinganisha na uzalishaji wake? demand and supply..

kama ni hivo turuhusu za kutoka nje mbona nazo zinaingizwa bado bei juu ili hali zimefika mpaka hapa kwa bei ndogo?
HUU NI KAMA KAMFUMO HIVI KUJIPANGIA BEI YALE YALE KAMA SUKARI BEI JUU cement izalishwe hapa hapa bado bei juu kama unanua kila kitu kumbe mawe tunayo hapahapa
 

Tatizo sio cement.. Tatizo ni nguvu ya shilingi yetu kwenye soko.. Shilingi haina thamani.. Serikali ikikusanya kodi fresh inavyotakiwa na kutumia pesa kwa usahihi shilingi itapanda value thn utaweza siku moja kununu cement kwa sh 500 kwa mfuko mkuu.
 


Duuh ngoja TUIOMBEE HAPA KAZI TU LABDA KWELI ITASHUKA maana kodi ndo kila kitu Pamoja mkuu inaumiza sana na huu ujenzi wa sasa hivi cement tu bonge la gharama bado vifaa vingine hitajika
 
Huenda bei ya sementi na mabati itashuka baada ya kasi ya kamatakamata ya makontena.
 
Serikali imeshindwa kusimamia hili tatizo hata nondo haishuki, vitu hivi vilitakikana viwe rahisi, saruji uturuki ni rahisi kuliko Tanzania
 
Mfuko wa Cement kwa huku ni Tsh 18500/=

Kama serikali itasaidia kuweka kiwango kidogo vitu hivi vya ujenzi umasikini utapungua kiasi kikubwa, kwani kila mlala hoi ataweza kujenga nyumba ya kumsitiri
 
Hahahaha,
Kamugisha,bangi mbaya
Jamaa angeuliza mbona mahari alioolea mzee ilikuwa cent tano na sasa ni mamilioni?
Angepata jibu huko na kulinganisha maisha yalivyo

Umeona Kiongozi, dogo anadhani bado tupo katika nyakazi za zama za mawe au ujima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…