Job Richard
JF-Expert Member
- Feb 8, 2013
- 3,876
- 2,190
Najitahidi kujiuliza cement tunaizalisha hapa hapa nchini bado haishuki ndo inazidi kupanda TUSAIDINE KATIKA HILI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda Konda bado kafunga mlango ndo maana haishuki
Labda Konda bado kafunga mlango ndo maana haishuki
Hahahaha,
Kamugisha,bangi mbaya
Jamaa angeuliza mbona mahari alioolea mzee ilikuwa cent tano na sasa ni mamilioni?
Angepata jibu huko na kulinganisha maisha yalivyo
itashukaje wakati umeme sio wa uhakika?viwanda kutwa vinaungurumisha mitambo mizito kwa mafuta?serikali ikiimalisha nishati na upatikanaji wake ukiwa mzuri na kwa bei nfuu basi kila bidhaa itashuka bei.pia mikodi inayotozwa viwandani kwenye bidha na kiwanda ni kufuru,usitegemee bidhaa yoyote inayozalishwa nchini kushuka bei.wenzetu serikli zao zinatoauzuku kwa iwanda vikubwa vinvyotengenezabidhaa sensitive ili zpatikane kwa wing na bei rahisi ndio maana cement ya Pakistan naeza uzwaoo adi 10000!!!!
kwasababu mahitaji ya cement ni mengi kulinganisha na uzalishaji wake? demand and supply..
kama ni hivo turuhusu za kutoka nje mbona nazo zinaingizwa bado bei juu ili hali zimefika mpaka hapa kwa bei ndogo?
HUU NI KAMA KAMFUMO HIVI KUJIPANGIA BEI YALE YALE KAMA SUKARI BEI JUU cement izalishwe hapa hapa bado bei juu kama unanua kila kitu kumbe mawe tunayo hapahapa
Tatizo sio cement.. Tatizo ni nguvu ya shilingi yetu kwenye soko.. Shilingi haina thamani.. Serikali ikikusanya kodi fresh inavyotakiwa na kutumia pesa kwa usahihi shilingi itapanda value thn utaweza siku moja kununu cement kwa sh 500 kwa mfuko mkuu.
Mfuko wa Cement kwa huku ni Tsh 18500/=
hahaha acha masihara ndugu watu tuna hasira ujue watupunguzie bei
Hahahaha,
Kamugisha,bangi mbaya
Jamaa angeuliza mbona mahari alioolea mzee ilikuwa cent tano na sasa ni mamilioni?
Angepata jibu huko na kulinganisha maisha yalivyo