Duuuh sasa tunanyonyoka huku MAWIWANDA MENGI HAPA KWETU YENYEWE INAZIDI KUPANDA BEI na kibaya pakistan nilisikia mpaka kufika hapa 5000kwanini tusiuziwe bei linganifu walau 10000 ina maana karibu 7000 ni kodi tu
pia KWANINI WAMEMKATALIA DANGOTE KUIUZA KWA BEI YA CHINI MPAKA ANAISAFIRISHA NJE YA NCHI
umeme
hilo linatataturika na gesi je mbona haishuki tu ?