Job Richard
JF-Expert Member
- Feb 8, 2013
- 3,876
- 2,190
- Thread starter
- #21
Ngoja tusubirie ahadi zianze kutekelezwa
kabisa mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja tusubirie ahadi zianze kutekelezwa
Bei haiwezi kushuka gafla ndugu.kuna gharama nyingi sana hapa katibadi cement inakufikia wewe.suala la bidhaa kama cement kushuka bei kwa pamoja ni sualabla serikali kukaa na wenye viwanda kuzungumza na kuangalia jinsi gani serikalibinaweza kuwasaidia ili kupunguza gharama ili bei ya bidhaa ishuke.hao wenzetu pakistani na ulaya viwanda vikubwa binapewa rruzuku kwenye maeneo mengi kama umeme,marighafi nk.hata wanapouza nje kuna namna serikali zao znawasuport.serikali ikiamua inaweza hayo yote.na itawezekana tu kama wataacha mazoea ya kutegemeabkodi kwenye vyanzo vichache vya kodi.ikapanua wigo wa ukusanyaji kodi na kubuni vyanzo vipyaDuuuh sasa tunanyonyoka huku MAWIWANDA MENGI HAPA KWETU YENYEWE INAZIDI KUPANDA BEI na kibaya pakistan nilisikia mpaka kufika hapa 5000kwanini tusiuziwe bei linganifu walau 10000 ina maana karibu 7000 ni kodi tu
pia KWANINI WAMEMKATALIA DANGOTE KUIUZA KWA BEI YA CHINI MPAKA ANAISAFIRISHA NJE YA NCHI
umeme
hilo linatataturika na gesi je mbona haishuki tu ?