Kwanini bei ya Petroli Uganda na Kenya ni ndogo kuliko Tanzania?

Kwanini bei ya Petroli Uganda na Kenya ni ndogo kuliko Tanzania?

wajingawatu

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2013
Posts
2,633
Reaction score
3,463
Bei ya petroli uganda ambayo ni landlocked country ni $1.3 wakati kenya ni 1.4Usd ila Tanzania ni $ 1.589. Tunapigwa????

EWURA hebu mkuje mtupe sababu
 
Kuhusu kupigwa, mbona ni jambo la wazi kabisa!
Kwa majibu yale ya msigwa hawa watu kende zao kabisa, yaani kuna kodi ya mafuta na kodi ya petrol, hii nchi sijui naji aje atunasue kwa hawa wahuni aisee ugumu wote huu wa maisha unasababishwa na wao na wanazidi kupata klnguvu.
 
Back
Top Bottom