wajingawatu JF-Expert Member Joined Jan 20, 2013 Posts 2,633 Reaction score 3,463 May 17, 2026 #1 Bei ya petroli uganda ambayo ni landlocked country ni $1.3 wakati kenya ni 1.4Usd ila Tanzania ni $ 1.589. Tunapigwa???? EWURA hebu mkuje mtupe sababu
Bei ya petroli uganda ambayo ni landlocked country ni $1.3 wakati kenya ni 1.4Usd ila Tanzania ni $ 1.589. Tunapigwa???? EWURA hebu mkuje mtupe sababu
AYnay JF-Expert Member Joined May 7, 2026 Posts 1,704 Reaction score 4,504 May 17, 2026 #2 wajingawatu said: Bei ya petroli uganda ambayo ni landlocked country ni $1.3 wakati kenya ni 1.4Usd ila Tanzania ni $ 1.589. Tunapigwa???? EWURA hebu mkuje mtupe sababu Click to expand... Tunapigwa???? 😁😁
wajingawatu said: Bei ya petroli uganda ambayo ni landlocked country ni $1.3 wakati kenya ni 1.4Usd ila Tanzania ni $ 1.589. Tunapigwa???? EWURA hebu mkuje mtupe sababu Click to expand... Tunapigwa???? 😁😁
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 46,405 Reaction score 138,158 May 17, 2026 #3 Kuhusu kupigwa, mbona ni jambo la wazi kabisa!
M Mufti kuku The Infinity JF-Expert Member Joined Sep 21, 2019 Posts 7,310 Reaction score 13,098 May 17, 2026 #4 Mtaelewa tu
5439 JF-Expert Member Joined Dec 25, 2025 Posts 373 Reaction score 870 May 17, 2026 #5 Kenya na uganda wanajielewa tofauti na sisi tanzania
polokwane JF-Expert Member Joined Dec 16, 2018 Posts 4,158 Reaction score 7,667 May 17, 2026 #6 Tate Mkuu said: Kuhusu kupigwa, mbona ni jambo la wazi kabisa! Click to expand... Kwa majibu yale ya msigwa hawa watu kende zao kabisa, yaani kuna kodi ya mafuta na kodi ya petrol, hii nchi sijui naji aje atunasue kwa hawa wahuni aisee ugumu wote huu wa maisha unasababishwa na wao na wanazidi kupata klnguvu.
Tate Mkuu said: Kuhusu kupigwa, mbona ni jambo la wazi kabisa! Click to expand... Kwa majibu yale ya msigwa hawa watu kende zao kabisa, yaani kuna kodi ya mafuta na kodi ya petrol, hii nchi sijui naji aje atunasue kwa hawa wahuni aisee ugumu wote huu wa maisha unasababishwa na wao na wanazidi kupata klnguvu.